Benki ya Barclays mjue hivi mnavofanya mnahatarisha usalama wetu na kutupa mzigo

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,278
Reaction score
1,794
Wakuu hawa jamaa ukitoa hela hawakupi noti za elfu 10 wanakwambia hawana na hii ni mara zote. Juzi tulitoa milion 12 tukapewa mabunda ya elfu 2 na elfu 5.

Leo tena ndo wameniacha hoi jamaa yangu katoa milion 10 kapewa mabunda ya buku buku. Yaani katoka utafikiria kabeba milioni mia moja kumbe milioni kumi tu. Mtu unaweza kuvamiwa hivi hivi kwa hela chache tu. Acheni hizo.

 
Mkuu,japo ni hatari kama unavyosema ila wakati mwingine Commercial banks huwa hawana namna maana na wao hua wanatoa oda benki kuu

Hivyo na Benki kuu nao wanaweza kuwa wamewapa noti nyingi za 1000,na chache za 10,000 na 5,000 kutokana na wao wanavyo balance mzunguko wa fedha,hivyo huwa nao hawana jinsi na hawawezi kukataa kwakua sana shida na lazima wazigawe tu kwa namna yoyote ile.

Lakini kama wanazo halafu wakakupa hizo basi hawakutendei haki.
 
Bank karibia zote CRDB wameziweka kabisa pale kwenye kioo ikikataa wanakwambia ndio mwendo huo
 
Mkuu Ahsante kwa maelezo yako mazuri ila shida inaonekana ipo kwa hawa Barclays wao kila siku wanakwambia hawana noti za elfu 10
Basi hao watakuwa na matatizo yao binafsi,inawezekana hizo denominations za 10,000 wanawekea watu wao fulani fulani halafu wewe wanakupa buku buku
 
Huyu ni mwongo. Ameokoteza picha huko. Ukute huyo cashier yeye ana deal na kutoa malipo ya hizo 1000 ndo maana kaziomba. Bank si wajinga wakupe madude yote hayo
 
Labda gia ya kuvuta warembo pm
Huyu ni mwongo. Ameokoteza picha huko. Ukute huyo cashier yeye ana deal na kutoa malipo ya hizo 1000 ndo maana kaziomba. Bank si wajinga wakupe madude yote hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…