Si bora wewe mimi walinikomba 400kWasalaam nyote.
Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote.
Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa
Kwanza hakukuwa na uwezekano wa kutoa pesa kwa CRDB masiku kadhaa eti, sasa ishawezekana washaniibiia pesa hizo.
Ni mwezi huu ndiyo wametia fora. Kuna jamaa yangu wamempiga 700k.Nimejiuliza yawezekana walikuwa wakifanya uhuni huu mara kwa mara labda sikuwa mfuatiliaji ujue
Yeap nahisi walikuwa wakinipiga sana ila sikuwahi kujuaHuu mwezi kwakweli Hawa jamaa wamezingua sana nasubiri upepo utulie nikachomoe tu mpunga wote, inawezekana hukuwa mfuatiliaji mkuu ila mimi huu mwezi tu wamepita na 37K mwanzo walichukua 17K hivi ile week ya maboresho wakapita na 20k yani dah