Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Majuzi nilifika kwenye hili TAWI Kwa ajili ya kutoa fedha ATM cha kushangaza hapakuwa na option ya kutoa pesa zaidi ya ile ya kuangalia Salio nk.
Ikabidi niwe mpole nikakimbilia kutoa Kwa wakala.Akili yangu ilinituma lile lilikuwa tatizo la muda mfupi nikawa na matumaini litaisha siku hiyo hiyo.
Leo asubuhi napo nimefika ATM nikakuta option ya kutoa pesa haipo kwenye ATM.Ikabidi nizame ndani Kwa teller ili nichukulie dirishani.
Baadae nikawa nasikia kwa wateja wakitoa assumption inawezekana huo ni mchongo wa BENKI husika kushirikiana na mawakala katika kupiga pesa!
Naomba sana Mkurugenzi mkuu wa CRDB makao makuu ufuatilie hii kadhia.Watumishi wako ndani ya banki tunapowauliza hawana majibu ya kueleweka.