Benki ya CRDB unapiga simu hawapokei na unaambiwa utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, nako ukienda haujibiwi haraka

Benki ya CRDB unapiga simu hawapokei na unaambiwa utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, nako ukienda haujibiwi haraka

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Benki gani unapiga simu hawapokei na unaambiwa eti utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, mitandao yenyewe ukienda haujibiwi instant.

Benki gani eti miezi miwili net unafatilia mkopo unaambuliwa kupigwa calendar na miyeyusho.

Kuna mtu aliwahi kusema ubora ameondoka nao kimei sasa kweli nimeamini.
 
Toka mabenki yarudi kwenye hali yake ya kiafya (kiuchumi) utendaji unadorora sana, possibly watumishi wamezidiwa, atleast siku hizi unakuta hata foleni, nyakati za GIZA kinene, enzi zile awamu ya 5, unaingia banks hukuti mtu utashangaa!, bank yote hii na ukubwa wote huu inawateja wawili tu! 😂😂😂, bakia hukohuko, usijefufuka.
 
Yani bongo uko kuta namba ya simu kwenye mitandao ukipiga ikiita haipokelewi, au haipatikani kabisa 👌👌👌
 
Nilishawahi piga simu mara 25 siku 2 mfululizo, hawapokei. Kwenye social media account hawajibu. Nimeshasitisha huduma kwao.
 
Ugonjwa huu wa PANGUSA,umeshashika mpaka taasisi binafsi,hali hiyo haiko taasisi za serikali peke yake wakati huu.
 
Back
Top Bottom