Njoo NMB utajionea Madudu mara 1000.
Kadi inamezwa una dharula, unaenda ndani ya Benki usaidiwe upate kadi yako unajibiwa subir masaa 24! What a rubbish rules
Toka mabenki yarudi kwenye hali yake ya kiafya (kiuchumi) utendaji unadorora sana, possibly watumishi wamezidiwa, atleast siku hizi unakuta hata foleni, nyakati za GIZA kinene, enzi zile awamu ya 5, unaingia banks hukuti mtu utashangaa!, bank yote hii na ukubwa wote huu inawateja wawili tu! πππ, bakia hukohuko, usijefufuka.
Njoo NMB utajionea Madudu mara 1000.
Kadi inamezwa una dharula, unaenda ndani ya Benki usaidiwe upate kadi yako unajibiwa subir masaa 24! What a rubbish rules