Benki ya dunia (WB) yaonya wafadhili kwamba Kenya haiwezi lipa Madeni, wwasiikopeshe.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Hali ya uchumi wa Kenya inazidi kuwa mbaya sana, wafadhili wengi wameanza kuinyanyapaa Kenya, baada ya mwezi Jana(September), Bank ya dunia kutamka wazi wazi kwamba Kenya haina uwezo wa kiuchumi kutokana na kuzorota kwa uchumi wa Kenya.

Wakati huohuo Waziri mdogo wa Kenya, amethibitisha kwamba, Kenya ni nchi iliyofilisika haina uwezo wa kuendesha miradi ya maendeleo bila kukopa, na kwamba kitendo cha WB na Marekani kuamua kumsimamisha kuikopesha Kenya, kutasababisha miradi mingi ya maendeleo kupigwa kalamu.
 
+254 aisome hii pia na siyo kazi ya kuinanga TZ kila kukicha.
 
Hii ni taarifa mbaya sana kiuchumi maana itapelekea uwekezaji kupungua, gvt expenditure kupungua ambapo itaathiri sana utoaji wa huduma za jamii na matokeo yake uchumi wao kushuka ingawa kuna project zinafanyika kama ujengaji wa SGR upanuzi wa port etc lkn return zake zinaweza kuchukua muda

Nadhani itabidi serikali ya huko ichukue hatua za muda mfupi kustimulate some sectors ambazo ni very productive wawekeze huko
 
Hali ya uchumi wa Kenya inazidi kuwa mbaya sana, wafadhili wengi wameanza kuinyanyapaa Kenya, baada ya mwezi Jana(September), Bank ya dunia kutamka wazi wazi kwamba Kenya haina uwezo wa kiuchumi kutokana na kuzorota kwa uchumi wa Kenya.

Wakati huohuo Waziri mdogo wa Kenya, amethibitisha kwamba, Kenya ni nchi iliyofilisika haina uwezo wa kuendesha miradi ya maendeleo bila kukopa, na kwamba kitendo cha WB na Marekani kuamua kumsimamisha kuikopesha Kenya, kutasababisha miradi mingi ya maendeleo kupigwa kalamu.
Hii ni habari nzuri kwa sababu itatusaidia kupunguza madeni yetu. Wewe sijui kwa nini unaona kama hili ni habari ya kutatanisha? Saa zingine lazima tukubali kwamba world bank wanasaidia kwa kupiga king'ora kabla ya hali kuwa tete. Sasa hivi bado hali sio tete japo tunaelekea huko na Kenya inaweza badilisha mkondo. Wafadhili wakianza kuhepa itabidi tuamke
 
Kenya niajirani zetu moto wa nyika huanzia sehemu moja ya misitu na ukimaliza EAC
Ni kweli kabisa ila +254 waache kunanga majirani zao kwani moto unaonunguza nyumba za jirani unaweza kuhamia kwao pia.
 
Hii ni habari nzuri kwa sababu itatusaidia kupunguza madeni yetu. Wewe sijui kwa nini unaona kama hili ni habari ya kutatanisha? Saa zingine lazima tukubali kwamba world bank wanasaidia kwa kupiga king'ora kabla ya hali kuwa tete. Sasa hivi bado hali sio tete japo tunaelekea huko na Kenya inaweza badilisha mkondo. Wafadhili wakianza kuhepa itabidi tuamke
Bado ninasisitiza, kuna kila sababu kwa Kenya kusikiliza maoni ya wataalam kama Dr. David Ndii hata kama ni kutoka upande wa Jubilee, mnapaswa kutenganisha uchumi na ushabiki wa Kisiasa.

Mimi huwa bado sijaelewa, inakuaje pamoja na makusanyo makubwa ya KRA lakini Kenya inashindwa kutekeleza miradi yake badala yake inategemea mikopo hata katika miradi midogo kama ya Galana Kulalu?, hivi kweli Serikali ya Kenya inashindwa kupata $1B kujenga huo mradi muhimu sana kwa Kenya?
 
Tusubiri Credit Rating ambayo itatoka hivi muda si mrefu.
 
Hiyo itapigilia msumari wa mwisho, lakini hali ya maisha na nchi kwa ujumla ni mbaya hivi sasa, Hospitali hazina dawa, miradi inafutiliwa mbali, na kodi inaongezeka kila kukicha.
 
Duuu, ni shida.
Halafu na lile la serikali kusimamisha kuajiri kwa muda wa miaka mitatu.
 
The same WB is predicting a Kenya that is economically competitive and is advising potential investors to watch out for the red hot Kenya. Sasa wewe potelea mbali na Propaganda zako wewe bootlicker wa CCM
 
Kwahiyo unapingana na hiyo "link"?, Hahahaha
 
Back
Top Bottom