joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
+254 aisome hii pia na siyo kazi ya kuinanga TZ kila kukicha.Hali ya uchumi wa Kenya inazidi kuwa mbaya sana, wafadhili wengi wameanza kuinyanyapaa Kenya, baada ya mwezi Jana(September), Bank ya dunia kutamka wazi wazi kwamba Kenya haina uwezo wa kiuchumi kutokana na kuzorota kwa uchumi wa Kenya.
Wakati huohuo Waziri mdogo wa Kenya, amethibitisha kwamba, Kenya ni nchi iliyofilisika haina uwezo wa kuendesha miradi ya maendeleo bila kukopa, na kwamba kitendo cha WB na Marekani kuamua kumsimamisha kuikopesha Kenya, kutasababisha miradi mingi ya maendeleo kupigwa kalamu.
Kenya niajirani zetu moto wa nyika huanzia sehemu moja ya misitu na ukimaliza EAC+254 aisome hii pia na siyo kazi ya kuinanga TZ kila kukicha.
Hii ni habari nzuri kwa sababu itatusaidia kupunguza madeni yetu. Wewe sijui kwa nini unaona kama hili ni habari ya kutatanisha? Saa zingine lazima tukubali kwamba world bank wanasaidia kwa kupiga king'ora kabla ya hali kuwa tete. Sasa hivi bado hali sio tete japo tunaelekea huko na Kenya inaweza badilisha mkondo. Wafadhili wakianza kuhepa itabidi tuamkeHali ya uchumi wa Kenya inazidi kuwa mbaya sana, wafadhili wengi wameanza kuinyanyapaa Kenya, baada ya mwezi Jana(September), Bank ya dunia kutamka wazi wazi kwamba Kenya haina uwezo wa kiuchumi kutokana na kuzorota kwa uchumi wa Kenya.
Wakati huohuo Waziri mdogo wa Kenya, amethibitisha kwamba, Kenya ni nchi iliyofilisika haina uwezo wa kuendesha miradi ya maendeleo bila kukopa, na kwamba kitendo cha WB na Marekani kuamua kumsimamisha kuikopesha Kenya, kutasababisha miradi mingi ya maendeleo kupigwa kalamu.
Ni kweli kabisa ila +254 waache kunanga majirani zao kwani moto unaonunguza nyumba za jirani unaweza kuhamia kwao pia.Kenya niajirani zetu moto wa nyika huanzia sehemu moja ya misitu na ukimaliza EAC
Bado ninasisitiza, kuna kila sababu kwa Kenya kusikiliza maoni ya wataalam kama Dr. David Ndii hata kama ni kutoka upande wa Jubilee, mnapaswa kutenganisha uchumi na ushabiki wa Kisiasa.Hii ni habari nzuri kwa sababu itatusaidia kupunguza madeni yetu. Wewe sijui kwa nini unaona kama hili ni habari ya kutatanisha? Saa zingine lazima tukubali kwamba world bank wanasaidia kwa kupiga king'ora kabla ya hali kuwa tete. Sasa hivi bado hali sio tete japo tunaelekea huko na Kenya inaweza badilisha mkondo. Wafadhili wakianza kuhepa itabidi tuamke
Hiyo itapigilia msumari wa mwisho, lakini hali ya maisha na nchi kwa ujumla ni mbaya hivi sasa, Hospitali hazina dawa, miradi inafutiliwa mbali, na kodi inaongezeka kila kukicha.Tusubiri Credit Rating ambayo itatoka hivi muda si mrefu.
Hiyo itapigilia msumari wa mwisho, lakini hali ya maisha na nchi kwa ujumla ni mbaya hivi sasa, Hospitali hazina dawa, miradi inafutiliwa mbali, na kodi inaongezeka kila kukicha.
Kwahiyo unapingana na hiyo "link"?, HahahahaThe same WB is predicting a Kenya that is economically competitive and is advising potential investors to watch out for the red hot Kenya. Sasa wewe potelea mbali na Propaganda zako wewe bootlicker wa CCM