Benki ya Dunia yaipa Tano DAWASA usimamizi wa miradi

Sababu za jf kufungiwa ni kukiuka sheria(hiyo ndio sababu iliyotajwa na TCRA), hivyo yoyote anayeitumia akiwa Tanzania anafanya kosa.

Tafuta utetezi mwingine.
Jf haijafungiwa kiujumla wake mkuu, imepigwa pin kwa hapa nchini, ndo maana ukiwa nje ya nchi unapata access bila tabu,

Kwakua jf ni kubwa sana labda dawasa wamepata kibali cha kutumia vpn ili watanzania walio nje ya nchi kwenye jukwaa hili wapate habari za dawasa
 
Kitu kilichofunguwa na serikali kwa kukiuka sheria, alafu taasisi ya serikali iruhusiwe kutumia hiko kitu? Mkuu huu utetezi hauna maana

Zipo platforms nyingi ambazo dawasa inaweza kutumia kufikisha taarifa kwa watu.

Tusiukatae ukweli kuwa hawa watu ni akili ndogo
Hata twitterbwameifungia kwa kukosa maadili lakini kina gerson, huyo bibi na viongozi wengine wanaitumia
 
Reactions: Lax
Hapana nakataa
Sawa lakini itabidi uanze kutumia AI and your creativity la sivyo you will be replaced, angalia AI kama mid journey, DALL E or canva magic zinaweza generate 100s of logos or social media posts in seconds, ni ushauri tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…