Benki ya Dunia yajizatiti kusaidia nchi masikini kupata chanjo

Benki ya Dunia yajizatiti kusaidia nchi masikini kupata chanjo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19

Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi

Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama hadi watu wote wawe wamepatiwa chanjo ya COVID19
 
Back
Top Bottom