Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Sasa kama wao wanaona Tz haina mpango wa kupambana na Corona sisi tufanyeje? Wataamua wenyewe!!!Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
View attachment 1419024
Hapo ndiyo kukanusha wewe azikutoshi mkuu! Ni mbumbumbu wa karne!Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Kuna statement yoyote ya serikali ya kusema WB imeipongeza Tanzania? Ebu iweke hapa tuione.Hivi tunavyotaka sifa za uongo ni ili iweje?
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Hivi tunavyotaka sifa za uongo ni ili iweje?
Grayson Msigwa hajui kuwa mabeberu wanawafatilia kila hatua.Team ya ikulu ya propaganda sio nzuri ni watu wakudanganya danganya tu wakati huu wa miaka ya mitandao itakuwa ngumu sana. Hapa kazi tu imeishia wapi?
Kama hii kitu imetoka WB basi hawajitambui kama ilivyo Serekali yenyewe ya TZ,wapi Serekali ya TZ imesema wamesifiwa na WBAprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Lumumba buku7 wako wapiAprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Hivi tunavyotaka sifa za uongo ni ili iweje?
Kama hii kitu imetoka WB basi hawajitambui kama ilivyo Serekali yenyewe ya TZ,wapi Serekali ya TZ imesema wamesifiwa na WB
Kuna statement yoyote ya serikali ya kusema WB imeipongeza Tanzania? Ebu iweke hapa tuione.
Kuna habari zimetapakaa kuwa WB wameipongeza Tanzania kwa muktadha huo. Wangekaa kimya maana yake ingeonekana kuwa ni kweli.