Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania


Tangu lini hiyo link ikawa ndio official website ya WB? Hebu rudi tena kwenye website hiyo hiyo utuletee financing agreement ya WB kwa mradi wowote mahali popote pale dunia hii.
 

Wewe kichwa maji ni wapi wamekanusha unayo yaongelea? Kichwa chako kimejaa kamasi? Hata kusoma kingereza hiki uwezi..


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Maneno curb, influx jinsi yalivyotumika inaonesha kabisa huyu ni mswahili wa Goba alieamua kujipatia huku 7 kupachika Magu sifa bandia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini hiyo link ikawa ndio official website ya WB? Hebu rudi tena kwenye website hiyo hiyo utuletee financing agreement ya WB kwa mradi wowote mahali popote pale dunia hii.

Kuna mahali popote nimesema hiyo ni website ya World Bank?
 
Mkuu mimi ndio niliweka huo uzi naona unawakera .... ..... Ding ...dong!

Binafsi sijakereka, ila nimeona aibu kwa kuwa tunaonekana tunajitafutia sifa tusizokuwa nazo. I would rather be told kuwa nina shati la zamani na limepauka ila ni Safi na limepigwa pasi na ni langu kuliko kupakaziwa kuwa nina sanduku zima la nguo mpya.
 

Mkuu hii ni habari iliyotoka leo sasa wewe subiri pale unapotaka kupata habari. Kwani JF ni source ya uhakika kwa habari za Tanzania?
 
Kuna statement yoyote ya serikali ya kusema WB imeipongeza Tanzania? Ebu iweke hapa tuione.
Kuna Gazeti la Uganda linaitwa Redpepper jana lilichapisha hiyo habari ya kwamba WB yaipongeza Tanzania kwa mikakati yake ya kupambana na COVID-19

Kichwa cha habari kilikuwa kinasema
"World Bank Applauds Tanzania on Anti Corona Policy Response, warns African Countries Copying Western Anti- COVID 19 Policies in Report"
April 13, 2020 REDPEPPER Editorial
 
Hawa vijana wa Lumumba wanapata nini haswa kwa kuchapisha habari za uzushi? Haya sasa WB. Wamekanusha upuuzi wenu mliousambaza, kwaajili ya kusifia visivyostahili kusifiwa
 
Ahsante kwa taarifa.
 
Kuna Gazeti la Uganda linaitwa Redpepper jana lilichapisha hiyo habari ya kwamba WB yaipongeza Tanzania kwa mikakati yake ya kupambana na COVID-19
Hilo gazeti ndilo linalotoa taarifa raami za Serikali ya Tanzania?
 
Kwani hata kama hawajayupongeza iko maneno gani, susi tuna njia zetu siyo lazima tupangiwe tunayajua matatizo yetu na tunapanga mikakati yetu. Hivi ni deal sana kupongezwa na WB.
 
Mbona beberu linatukalia kooni hivyo kutupiga Spana!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…