Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 230
- 541
We ndio kilaza usiye elewa ,,tatizo mnasifia na visivyo sifikaWewe kichwa maji ni wapi wamekanusha unayo yaongelea? Kichwa chako kimejaa kamasi? Hata kusoma kingereza hiki uwezi..
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huwa najiuliza siku wakishuka kwenye daladala wataweza ishi bila sifa.Maana daladala ikishakuacha kituoni kwako utosikia cha TBC,harmonize Wala musiba wakikuimbia nyimbo kusudi wapate pesa toka kwako.Yani kuna watu wanakaa kusifiwa hadi wanatengeneza sifa za bandia.
HII SASA NI UTAKATISHAJI WA SIFA BANDIA
Kwani ye kasema kuna statement?Kuna statement yoyote ya serikali ya kusema WB imeipongeza Tanzania? Ebu iweke hapa tuione.
Ebu angalia alichoandika niliyemjibu.Kwani ye kasema kuna statement?
Kwani kataja serikali?Ebu angalia alichoandika niliyemjibu.
C.cAprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Walitaka hatua za kujifungia ndani ndio wajue tumechukua hatuaAprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Hahahaa waliandikiwa na Albert Msando huu ni mwandiko wake. Poor CCMMkuu nilifungua hii story na links zote zimo - Imeondolewa kwa sababu tu JPM anawanyima usingizi.
World Bank Warns African Countries Copying Western Anti-COVID-19 Policies
Tuesday, April 14, 2020 / 01:07 AM / By RedPepper Editorial & World Bank / Header Image Credit: WatPad
The World Bank Group has applauded Tanzanian unique approaches to contain the COVID-19 pandemic and also cautioned African states to desist from copying Western practices and policies to curb its spread.
"Thanks, President John Magufuli for not duplicating policies implemented in advanced countries and some middle - income as pasted by some African countries in the region.
The Africa's Pulse Report titled as "assessing the economic impact of COVID-19 and Policy Responses in Sub-Saharan Africa" released yesterday has commended Tanzania as one of the best examples for its strategic approaches that considers the best of its political economy and well-being of the society.
With 32 COVID- 19 confirmed cases, 3 deaths and 5 recoveries, Tanzania unlike other African countries has not locked down businesses and its citizens. The country has not also closed its borders but initiated strict testings and 14 days quarantine to all arrivals.
The World Bank report warns catastrophic consequences to sub- Saharan countries that have copied and pasted anti COVID- 19 policies.
"Facing a fast-changing situation with great uncertainty and so many unknowns, most governments around the world have resumed to similar approaches to contain the COVID-19 pandemic", the report states.
The report mentions South Africa, Ghana, Rwanda, and Kenya, who have reacted quickly and decisively to curb the potential influx and spread of the COVID-19 virus very much in line with emerging international experience.
The report warns these countries that as the situation evolves, there are more questions about suitability and likely effectiveness of some of these policies such as strict confinement.
It advises African governments deploy a series of emergency measures and structural features of African economies that shape the policy responses that are designed and implemented to fend-off COVID-19.
The World Bank has given multiple reasons why economic policies implemented in Sub-Saharan Africa should be different from those adopted in advanced countries and (some) middle-income countries.

HaWa wazee wa kingosha watang'ang'ania daladala hadi wafie humoHuwa najiuliza siku wakishuka kwenye daladala wataweza ishi bila sifa.Maana daladala ikishakuacha kituoni kwako utosikia cha TBC,harmonize Wala musiba wakikuimbia nyimbo kusudi wapate pesa toka kwako.
Ahhaa wapi jioni ikifika daladala inaenda lalaHaWa wazee wa kingosha watang'ang'ania daladala hadi wafie humo
MATAGA wakiongozwa na MMBANDO, kilaza mmoja toka mwika komakundi ndio linaandikaga hayo maujinga, yaani MECCO anakaa na kuwaza kupongezwa kila kitu na dunia nzima.Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.
Wewe zero kabisa kichwani, Magufuli amnyime nani usingizi au yeye ndo halali kwa kuihofia CHADEMA?Mkuu nilifungua hii story na links zote zimo - Imeondolewa kwa sababu tu JPM anawanyima usingizi.