Ipo kama haipo...hawajibu emails wapuuzi hao!Heshima kwenu ninyi nyote,
Naomba kuuliza , Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi? Na uko iliko inafanya kazi kweli kwa ajili ya mkulima?
Kilimo kinaitaji mtaji wa kutosha na wakulima wengi wa chini huo mtaji hawaupati kwa urahisi kutokana na masharti mengi kutoka benki zingine,
Naomba pia kujua namna ya kupata mkopo kutoka benki ya mkulima Kama kweli iyo benki ipo
Sijawahi ona mdeni anayelipa mkopo benki bila kuwa na collateral yoyote yenye thamani zaidi ya pesa alochukua kuwa dhamanaHeshima kwenu ninyi nyote,