KERO Benki ya NBC wajirekebishe, watakuja kuua watu kwa presha

KERO Benki ya NBC wajirekebishe, watakuja kuua watu kwa presha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Wanakijiji

New Member
Joined
Jun 18, 2023
Posts
3
Reaction score
5
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.

Afu eti imagine kwa dunia hii ya sasa hivi NBC wana sim banking ambayo huwez kuhaamisha pesa kwennda bank nyingine.

These People of NBC are headache.
 
M ishawah kunkuta alaf bad enough ilinkuta kipind ambacho nlipotezaga card and baada ya kupata card mpya skuingia ATM.....siku nlienda nkakutana na situation kama hiyo.....stosahau pressure nlopata skuile
 
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.

Afu eti imagine kwa dunia hii ya sasa hivi NBC wana sim banking ambayo huwez kuhaamisha pesa kwennda bank nyingine.

These People of NBC are headache.
Pole sana. Hio ya kuhamisha pesa kwenda bank nyengine umejarbu kwa APP? au unatimIA USSD?
 
Back
Top Bottom