CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
kwa wafanyakazi, na watu binafsi waliopo wilaya ya kilindi watakubaliana na mimi kuwa uwepo wa benki moja tu (nmb) unazua mafanikio mengi mfano suala la mikopo... nmb wameweka masharti kibao ambayo yanamnyima mtu kupata mkopo kwa wakati na pia mikopo wanayotoa ni midogo sana... benki ya posta ikatumia makosa na udhaifu wa nmb kujitanua zaidi, katika mkoa wa tanga ni wilaya mbili tu lushoto na kilindi ambazo benki ya posta wanadai wamewekewa zengwe... kuna siku niliwasiliana na afisa mikopo wa benki ya posta tanga kumuuliza kwanini hawana tawi kilindi akadai mkurugenzi amegoma kusaini mikataba yao...
Kiukweli nimechoka kuwa mteja wa nmb ingawa sina jinsi maana ipo benki pekee hapa kilindi... Tafadhali benki ya posta kama handeni mmeweza msishindwe kilindi...
allan.
Kiukweli nimechoka kuwa mteja wa nmb ingawa sina jinsi maana ipo benki pekee hapa kilindi... Tafadhali benki ya posta kama handeni mmeweza msishindwe kilindi...
allan.