BENKI YA WANAWAKE (TWB) KUUNGANISHWA NA TPB BANK PLC, NINI FASIRI YAKE KIUCHUMI?

Mwabhleja

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,351
Reaction score
2,061
Hamjambo Watanzania!
Ikiwa imepita miezi michache tangu benki ya Twiga iunganishwa na TPB kutokana na kushindwa kujiendesha yenyewe sasa ni zamu ya TWB.

Hali ya taasisi za kifedha kuunganishwa haikuwahi kutokea kwa mfululizo miaka ya nyuma.
Kwakuwa TPB BANK PLC ni mali ya umma basi tunayo nafasi ya kujadili kwa lengo la kujenga uchumi wetu hususani katika taasisi za kifedha. Awali najiuliza ni kwanini benki zinazofeli zinaunganishwa na TPB wakati inajulikana zina NPL kubwa na small customer base?

Pili najiuliza hii si indicator ya chochite?
 
Huu mkanganyiko kamwe hautatolewa maelekezo maana ni dalili mbaya kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…