Interest rates zetu kwa accnts ni 3% which is calculated daily n deposited monthly....na mikopo interest zetu zina rage in btn 19 to 24%. Dont forget kwamba rates zote za ma bank ni watoto wa benki kuuu ya nchi husika...the rest tupo kibiashara zaidi kama Bot tuuu.Karibu ndugu.
DCB wana interest nzuri san FDR!!wajaribu mkuu
Asante sana
Unamaanisha nn mfumo?Wadau
Ni benki gani yenye mifumo mizuri kwenye Fixed Deposit Account? Nataka kupata uelewa kuhusiana na hili. Tafadhali
Mokoyo
Unamaanisha nn mfumo?
Banks mpya ambazo zinastrugle kupata depositors ziko willing kunegotiate interest rates kubwa kulinganisha na banks zenye customers wengi au government deposits. In that case jaribu FNB, Equity, UBA, ECO e.t.c. Amount yako ndio inayodeternine power ya kubargain!!!
Jaribu DCB
Hizi banks ndogondogo zenye matawi kumi tu nchi nzima,hazikawii kufungwa,Kuwa makini sana
Wadau