Benki yenye Fixed Deposit Account NZURI

tusitishane jamani, ila i hope BOT itakuwa na utaratibu wa kumlinda mteja pindi benki inapotangazwa mufilisi
Namba ya matawi sio kigezo cha safety/soundness ya bank...mfano citi bank haina matawi kbsa, but it's one of the strongest in the market.

Hizi banks ndogondogo zenye matawi kumi tu nchi nzima,hazikawii kufungwa,Kuwa makini sana
 
City bank,ni international bank ndio haina matawi lakini ipo pote duniani,sio wababaishaji,hivi unakumbuka wale matapeli walikuwa wanaitwa meridian biao bank????waliondoka na pesa za watu wengi sana,Sawa na hizo bank jamaa alizotaja hapo juu ECO!!!!!!!!
 

Datoga nakushauri ununue ardhi popote pale then panda miti mpakani au rondamly na iache for 5 - 15yrs then iuze utashangaa na wala hutojuta maana ardhi ina appreciate value. I did it and I know what I'm talking about. Na naweza kukusaidia upande shamba ama kiwanja.

alfredmkohiatgmaildotcom
 
fungua sacos yako kwa wafabiashara ndogo kama,mama ntilie,wachoma maandazi,vitumbua nk wanalipa zaidi kuliko benki kwa kiasi hicho ulichonacho
Lingepatikana jibu la hapa wengi tungeelewa kwa maana pale juu hata mimi sijaambulia jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…