Benki yenye riba nafuu hapa Tanzania

Benki yenye riba nafuu hapa Tanzania

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,606
Reaction score
5,922
habari za muda wadau wa jukwaa hili,naomba kufahamishwa benki au taasisi yenye mkopo nafuu kuliko nyingine ili,niweze kwenda kujipatia chochote katika kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo ya tanzania.nilipita nmb na mwalimu commercial bank,riba zao ni asilimia 17,na kuna baadhi ya mambo wanafanana.hasa kwenye fees,kwa mfano unataka milioni 20,wanakupa 19 na laki 4,sasa huo ni wizi mweupe kabisa,wanadai zinazokatwa ni servicecharge na ada ya kukuandalia mkopo,yaani kazi yao uwalipe wewe.kwa hiyo mwenye kujua benkiiliyo na uafadhali anifahamishe mimi pamoja na wana jkwaa wengine.vile vile hawa jamaa nmb,crdb,na mwalimu commercial bank,ukitaka miliono 17 wanakupa 15900000.00zilizobako ni fees.karibuni kwa maoni wadau.
 
Ebu jaribu kuulizia na Bank of Africa nasikia wanaunafuu
 
Back
Top Bottom