Benki za Tanzania sio kutunza pesa ila kuna vitu hapa Tanzania vina pesa kwenu kuliko mikopo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Benki za Tanzania zipo kwenye mambo mawili ambayo wateja kutunza pesa na mikopo ili kupata faida.

Kuna sinema nyingi zinaonesha benki nyingi zinaweza kutunza nyaraka, madini na n.k na leo kama mifumo ya cryptocurrency benki imekubali kwa nchi chache.

Tanzania imebarikiwa kuwa na madini mengi na sehemu nzuri na hata walio na nyaraka kama za kutunzia mirathi, madini yao au madini kuwa kama account ya pesa. Hili jambo je benki lita kuwaje !

wanazengo!

Kumbusho: Wazo ili sio CCM maana watakuja na kucrash
 
feza boys.jpeg
 
Dhahabu tunachimba wenyewe, Almasi na Tanzanite vivyo hivyo!. Madini yatakuja kuamua hatma ya soko kwenye taasisi za fedha kimataifa baada ya Dollar kupigwa chini ....

Najiuliza kwa nini mabenki au benki kuu zisinunue kwa wingi dhahabu ili thamani ya shillingi yetu iamuliwe na thamani ya pande la dhahabu.
 
Tanzania imebarikiwa kuwa na madini mengi na sehemu nzuri na hata walio na nyaraka kama za kutunzia mirathi, madini yao au madini kuwa kama account ya pesa. Hili jambo je benki lita kuwaje !
Unamaanisha safe deposits?
 
Utayanunua hayo madini Kwa pesa ya madafu mkuu halafu baadae inakusaidia Nini maana dollar ndiyo mwamuzi wa mwisho. Ukikoswa dollar za Marekani umekwisha na hayo madini yako. Refers Zimbabwe.
 
Dhahabu tunachimba wenyewe, Almasi na Tanzanite vivyo hivyo!. Madini yatakuja kuamua hatma ya soko kwenye taasisi za fedha kimataifa baada ya Dollar kupigwa chini ....

Najiuliza kwa nini mabenki au benki kuu zisinunue kwa wingi dhahabu ili thamani ya shillingi yetu iamuliwe na thamani ya pande la dhahabu.
Waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom