Mzee tozo hili chata kapigwa
Unamaanisha safe deposits?Tanzania imebarikiwa kuwa na madini mengi na sehemu nzuri na hata walio na nyaraka kama za kutunzia mirathi, madini yao au madini kuwa kama account ya pesa. Hili jambo je benki lita kuwaje !
Waliwahi kufanya hivyo kipindi fulaniDhahabu tunachimba wenyewe, Almasi na Tanzanite vivyo hivyo!. Madini yatakuja kuamua hatma ya soko kwenye taasisi za fedha kimataifa baada ya Dollar kupigwa chini ....
Najiuliza kwa nini mabenki au benki kuu zisinunue kwa wingi dhahabu ili thamani ya shillingi yetu iamuliwe na thamani ya pande la dhahabu.