Wakuu Watanzania Wengi Bado Ni Malimbukeni Wa Madaraka/ Majukumu. Watu Wengi Hawajawahi Kuajiriwa Kwenye Hizo Ofisi Zenye Viyoyozi, Na Wale Wenye Uzoefu Wa Kuajiriwa Uzoefu Wao Ni Wa Enzi Zile Chama Kimeshika Hatamu..ukivurunda Unaamishiwa Ofisi Nyingine Au Kupandishwa Cheo. Hawa Miaka 15 - 30 Ijayo Watakuwa Wameshastaafu Wote Kwenye System Ya Bongo Hivyo Tuvute Subira...siku Zao Zinahesabiwa.