A
Anonymous
Guest
Mtu mmoja ananidai pesa; nimekuwa nikimlipa kidogo kidogo na karibu namaliza deni. Ajabu jana kanipigia simu kuwa amefuatilia katika akaunti yangu na kuona nimetoa fedha bila kumlipa.
Taarifa hii kaipewaje hapo Bank ilihali akaunti siyo yake?
Je, benki mnatoa taarifa za wateja wenu kwa mtu yeyote asiyehusika na akaunti hiyo?
TAFADHALI ACHENI HIZO...
Taarifa hii kaipewaje hapo Bank ilihali akaunti siyo yake?
Je, benki mnatoa taarifa za wateja wenu kwa mtu yeyote asiyehusika na akaunti hiyo?
TAFADHALI ACHENI HIZO...