Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hakuna ..kuna makipa wengine wanafungwa magoli ya mashuti ya mbali..they need spectacles
Huyu Mwana ni jin
Mchezaji bora wa yanga kwa sasaBENNO DAVID KAKOLANYA
MICHEZO 7
CLEAN SHEETS 6
GOLI 1
*KAMA KUNA KIPA MWENYE RECORD KAMA HII MPAKA SASA NDANI YA LIGI KUU ILETE HAPA, NAACHANA NA SOKA KABISAAAA*View attachment 917084
Hahaha.. Inshu si jinsi gani unaanza, bali unavyomaliza.
Kijana hii kazi mwenyewe shehe yahya,ww umeianza lini?Hahaha.. Inshu si jinsi gani unaanza, bali unavyomaliza.
Ila amini nakuambia, huyo Benno wenu atapoteana soon.
Nikianza kutoka line up itakua km ile tuliyocheza na mikia,yan lzm tuwapasue sana huko mikoaniHahaha.. Inshu si jinsi gani unaanza, bali unavyomaliza.
Ila amini nakuambia, huyo Benno wenu atapoteana soon.
Ukiona katika timu, mchezaji bora wako ni kipa, unatakiwa utambue kua;Mchezaji bora wa yanga kwa sasa
Mkuu, hii kazi ndiyo inaniweka mjini.Kijana hii kazi mwenyewe shehe yahya,ww umeianza lini?