Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,734 Reaction score 4,042 Nov 4, 2018 #61 Tanzania one anafahamika lakini vyura wanajaribu kuforce king
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Nov 5, 2018 #62 Exactly mkuu, kapigwa chenga matata Jana na wanakuchele aisee nimecheka sana PTER said: Beno level yake Ally SALIM yule kipa namba tatu wa Simba Click to expand...
Exactly mkuu, kapigwa chenga matata Jana na wanakuchele aisee nimecheka sana PTER said: Beno level yake Ally SALIM yule kipa namba tatu wa Simba Click to expand...
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Nov 5, 2018 #63 Namkubali sana Benno sio lile koti letu Aisha Manula linafungwa magori ya ajabu ajabu halafu wanamuita Tanzania 1. sijui wanatumia kigezo gani.
Namkubali sana Benno sio lile koti letu Aisha Manula linafungwa magori ya ajabu ajabu halafu wanamuita Tanzania 1. sijui wanatumia kigezo gani.
Your Majesty JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,242 Reaction score 5,345 Nov 5, 2018 #64 Ghazwat said: Exactly mkuu, kapigwa chenga matata Jana na wanakuchele aisee nimecheka sana Click to expand... Aisee mkuu unamcheka Tanzania one acha hizo bwana [emoji23] [emoji23]
Ghazwat said: Exactly mkuu, kapigwa chenga matata Jana na wanakuchele aisee nimecheka sana Click to expand... Aisee mkuu unamcheka Tanzania one acha hizo bwana [emoji23] [emoji23]