mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mbona hawamsemi Ozil anakaa benchi na mshahara unaingia mkubwa lakini hajali
Acha ujinga wewe hukuona sababu wakati wachezaji wengi waliamua kuanika njaa iliyokuwepo yanga waziwazi!Kakolanya ..gadiel na ajibu....sikuona sababu ya wao kuondoka yanga..kakolanya alivogombana na kocha ni heri angeenda hata azam au angekomaa abaki yanga
Pesa pesa pesa pesaKwahyo ulitaka wafie njaa Yanga sio[emoji23][emoji23]. Waonee huruma vijana wenzako wanamajukumu pia
Alivyofukuzwa ndio akaanza kuzunguka kwenye redio na kudai alikuwa anawakopesha yanga . Hao wanaomponda Ben hawamsaidii chochote kwenye maisha yake na familia yakeHuyo Zahera aliyekuwa anamkataza Beno hazidai mishahara yake yeye mwenyewe wamemfukuza na kulipwa hajalipwa mpaka leo wamemtapeli
Mwandishi kawasilisha anachokiamini, lakini binafsi niliyaona makosa ya wacjezaji 2. Beno na Gadiel. Mchaezaji aloyechemka zaidi ni Gadiel maana hakufikiria kabisa anakokwenda anakwenda kuwa nani? Matokeo yake kaacha nyumba yake kaenda kupanga. Beno ni miongoni mwa vipaji halisi vya kitanzania, Lakini ameua kipaji kwa kukosea kuchagua. Najua wazi na nilimsema kocha aliyekuwepo kwamba anakosa sifa moja kubwa ya kuwa "Mlezi", akamkataa mchezaji kwa kosa la kudai haki yake hata kama hakutumia njia sahihi za kistaarabu. Hata hivyo alichokifanya mchezaji ilikuwa kama kuunga juhudi ushabiki wa Simba na Yanga, akakubali kutumika kama chombo cha siasa za mpira. Hakujali yeye atakuwa nani Simba, akakubali kuwa mke wa pili. Tuwapende wachezaji wetu lakini wanapokosea tuwaambie ukweli. Leo De Gea anaweza kwenda Liverpool kuwa msaidizi wa Allison? Hatuoni wenzetu hata nafasi yake uwanjani inaweza kuwa sehemu ya mkataba wake.
Ndugu yangu soka la bongo halina dhamana mkataba wa Simba miaka miwili unamaslahi kuliko miaka 10 ya Mtibwa. Ajib, Ndemla, Beno, na Gadiel wanapaswa kupambana tu kwenye mazoezi kumridhisha kocha na kupata nafasi na hata wasipopata nafasi mara kwa mara ila kila wakipata mara moja waonyeshe kiwango. Simba itawapa mkataba mpya tu sababu haiwezi acha mchezaji talented ushahidi ni kwa Ndemla.Ao wachezaji ni wapumbavu, Kama wangekua wanajitambua wangeomba watolewe kwa mkopo ili wawe wanacheza, ukicheza marakwamara kiwango kina imarika na unaweza kuitwa timu ya Taifa, ukiwa timu ya Taifa na unacheza nafasiyako ya kupata timu nje ya nchi inakua kubwa sana. Kwasasa wanakaa bench na mpirawao unakufa. Ni Jambo la kuhuzunisha kipaji Kama Cha beno kinaoza, ana nafasi ya kufika mbali Kama akijitambua.
Kipa no moja wa Argentina ni willy cabelloUkiandika jaribu ku Balance story yako...
Wakati unaongelea mfano wa David De Gea kwenda kuwa sub ya Alison unatakiwa utueleze pia Huyo kipa namba mbili wa Man U anaubora gani? Ni kipa namba moja wa taifa gani? Argentina na Spain kuna utofauti gani mkubwa kisoka? Mbona kipa namba moja wa Argentina amekubali kuwa kipa namba mbili kwa kipa wa Spain hapo Man U? Je anaua kiwango?
Usivutie story upande wako ili upate conclusion inayo favour hoja zako...
Hivi mnataka golikipa namba mbili aweje kwa mfano awe pazia kabisa.wote wanatakiwa kuwa na kiwango sawaHapa Beno Kakolanya Kapanic pasipo sababu
Sergio Romero alsajiliwa Manchester kutoka Monaco akiwa kipa namna Moja wa ArgentinaKipa no moja wa Argentina ni willy cabello
Romero alisjiliwa Manchester akiwa kipa namba Moja wa Argentina na Degea kipa namba Moja wa Spain...hiyo ndo point yangu na si ni nani Kipa wa Argentina leo...hii ni squad ya 2018 World Cup.Kipa no moja wa Argentina ni willy cabello
Ukichunguza, karibia wote wanaopiga MAYOWE ni wapenzi/washabiki wa Yanga. Ni DONGE tu! Kwa nini SIMBA?Kama aliyeko bench simba anavuta mpunga wa maana kuliko aliyeko golini Yanga shida iko wapi pesa kwanz mengine badae
Unamjua Ozil wa Arsenal?mpira sio sawa na ualimu au utumishi wowote ule kwamba hata usimamishwe kazi na mshahara unaupata fresh tu. Kwenye mpira inatakiwa ucheze ili ufikiriwe tena mkataba utapoisha. Unafikiri Simba wataoffer pesa sawa na ile waliyotoa kwa hao wachezaji pindi mikataba yao inapoisha? Kwa mchango gani waliouonesha kwenye timu?
Mechi gani walicheza asubuhi?huyo mchezaji hajitambui, hata mwandiko na reaction yake vinaonesha uwezo wake kichwani
Utopolo bwana!Mechi gani walicheza asubuhi?huyo mchezaji hajitambui, hata mwandiko na reaction yake vinaonesha uwezo wake kichwani
Tatizo we unaandika tu hapa yaani kwenye maandishi ni simple sana.Ao wachezaji ni wapumbavu, Kama wangekua wanajitambua wangeomba watolewe kwa mkopo ili wawe wanacheza, ukicheza marakwamara kiwango kina imarika na unaweza kuitwa timu ya Taifa, ukiwa timu ya Taifa na unacheza nafasiyako ya kupata timu nje ya nchi inakua kubwa sana. Kwasasa wanakaa bench na mpirawao unakufa. Ni Jambo la kuhuzunisha kipaji Kama Cha beno kinaoza, ana nafasi ya kufika mbali Kama akijitambua.
Akikujibu hilo swali nishtue na Mimi nimuulize kama anamjua Gareth Bale.Unamjua Ozil wa Arsenal?