Beno Malisa (Mkuu wa Mkoa aliyetumbuliwa Tabora) ni Wakili, amefanya kosa gani?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Beno Malisa ni Wakili, amekaa kwenye "ulaji" wa Siasa toka 2007 , amekuwa UVCCCM, Mjumbe NEC, Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa , bado tu, je watoto wetu wanao hitimu Open University wafanyeje?
 
😅😂😀😄😁🤔🤭🥱
 
Eti anajiita kijana ilhali yuko above 45. Kosa lake ni kuwa Team Nchimbi.
 
Jamaa wa zamani kidogo. Tangu UVCCM ya akina Nape Naye.
 
Kwa unyenyekevu huu wa kichawa, ndiyo maana wengine tulikataa kufanya kazi za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…