Benpol akiri yeye na Latifa damu damu

Benpol akiri yeye na Latifa damu damu

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
ben-pol-na-mchumba-ake1.jpg


Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben Pol tangu awe staa ameongea na chanzo makini juu ya mahusiano yake yaliyopita yalishindwa kudumu kwakuwa wasichana wengi walikuwa na matarajio makubwa kutoka kwake kwakuwa yeye ni msanii.

Sasa hivi tuna miezi tisa, nadhani ndio the longest relationship, amesema Ben kuhusu uhusiano na Latifa. "Unajua nimekutana na watu wa aina tofauti.

Nimekutana na watu ambao labda wanakuwa na expectations kubwa zaidi kuhusu mtu fulani, kwahiyo akiingia kwenye maisha yako labda kuna vitu ambavyo yeye tayari alishapicture,labda Ben Pol tutakuwa tunakula bata every weekend, tunakula bata milioni, tunaenda huku kule everyday.

Kwahiyo mtu anaweza akaja kwenye maisha yako akakuta sio mtu wa hivyo, ni staa ndio lakini you dont go to clubs mara kwa mara, you dont do this, you dont do that kama mastaa wengine. Kwahiyo mtu anakuwa disappointed anatoka kwenye maisha yako.

Ndio hicho ambacho nimeexperience zaidi kwenye mahusiano yangu yaliyopita.Kwahiyo ukipata mtu ambaye akakuelewa hivyo, inatia moyo kidogo. Ben Pol amesema hata hivyo uhusiano wake na Latifa haujawa rasmi kabisa kwakuwa bado hajaenda kujitambulisha kwao. Lakini at least naweza kusema nina hatua moja katika tano au katika tatu."

 
Mh hayo si ndo ya Wema Sepetu na Mr.Blue kipindi kilee!,ngoja waje wanaojua kuzitumia pesa,huyo Latifa sijui atasema!!
 
Jiheshimu wakati mwingine. Stpd.

Don't panic !d!ot, Relax n' take note while I take tote of marijuana smoke gun smoke I just wanna some papers,I need comma after my comma ,this year no more drama mainly because my saving accounts show more commas!
 
Huyu dogo si nasikia mchicha mwiba engine nyuma mkasi mshumaa?

Sina uhakika sana kama jamaa anainamishwa, ila inajulikana jamaa anapenda sana 0713 za wanaume wenzie, na ana kamchezo ka kuwatapel vijana wadogo na kuwafanyia michezo michafu, ila kuhusu yeye kuliwa sidhan kwa kweli
 
Sina uhakika sana kama jamaa anainamishwa, ila inajulikana jamaa anapenda sana 0713 za wanaume wenzie, na ana kamchezo ka kuwatapel vijana wadogo na kuwafanyia michezo michafu, ila kuhusu yeye kuliwa sidhan kwa kweli

Okay basi nlisikia vibaya kwenye hiyo michezo kumbe yeye ndio anakula nkajua yeye ndio analiwa,siku za usoni Latifah atashindwa kupiga mluzi.
 
Bina ni kweliii ??

Kajamaa kanapenda kuinamisha vijana wa watu, tena anachagua kwanzia umri wa miaka 16 had 21 anavitapel na kuvifanya michezo michafu, ila sidhan kama yeye anafanyagwa hivyo pia
 
Okay basi nlisikia vibaya kwenye hiyo michezo kumbe yeye ndio anakula nkajua yeye ndio analiwa,siku za husoni Latifah atashindwa kupiga mluzi.

Kuhusu yeye kuliwa mmh! Sidhani sana, ila sifa yake kubwa ni kuchokonoa vijana wa watu tigo, na anapendaga vijana wadogo wadogo ili awatapeli vizur
 
Back
Top Bottom