Elections 2015 Benson Kigaila apinga uteuzi wa Anthony Mavunde Jimbo la Dodoma

neno mpumbavu hutamkwa na MTU mpumbavu na hushangiliwa na watu wapumbavu
 
Sio mawaziri tu,kwa mujibu wa Kigaia ata Rais anapogombea muhura wa pili inabidi aache urais kwanza.

Yaan kwenye kampeni za 2010 kwa mfano,Kikwete angejiuzulu kwanza urais ndio aingie kwenye kampeni na Dr Slaa.Mpumbavu huyu!

Huna busara kutukana ovyo. Huo ndio muongozo unavyo sema. Unadhani Prof. Kitila Mkumbo kuwagonea ACT hana akili?
 
Halafu eti ndiyo anagombea ubunge akashiriki kutunga sheria na kuchambua miswaada,bure kabisa.
 

Sina matatizo sana na ufafanuzi wako. Kama ni sahihi basi jiulize kwa nini tukifika kipindi hiki hawa wanasiasa wasio kuwa na umuhimu mkubwa wabaki ofisini? Hii ilikuwa ni moja ya sababu ya Time ya Katiba kupensekeza mawaziti wasiwe wanasiasa.
 
Halafu eti ndiyo anagombea ubunge akashiriki kutunga sheria na kuchambua miswaada,bure kabisa.
Hivi wewe umeisoma ile sheria au unarukaruka bila hata kuelewa? Ni kuwa sheria zilizokuwa zinatetewa na maccm bungeni nyingi ni za hovyo na zinawaumiza wenyewe sasa.
 
Mkuu nimekuja kujua kumbe kule chadema kunamapumbavu mengi sana kama wako sahihi kwa mawazo yao mbona mawaziri nao hawajawakatia rufaa hayawezi hata kutofautisha kati ya utumishi wa umma na ule wa kisiasa.

ninavyo jua mimi kwa yeyote anaepokea mshahara wa serikali ni mtumishi wa umma,haijalishi ni Waziri mkuu,waziri ,mkuu wa mkoa na wilaya au mwalim.utumishi wa kisiasa ni kama Katibu wa ccm au mwenezi wa tlp ambao wanalipwa na vyama vyao .ukisha kuwa mteule wa rais wewe ni mtumishi wa umma,ndio maana wanatumia ofisi za serikali na sio za chama.sijui kama tumeenda sawa!!!?
 
Uzuri ni kwamba tayari wananchi tunaelewa kuwa nyie maccm mshazoea mipira ya Uruguay, rafu kwenda mbele.
Mkiachiwa mcheze fair play mnalalamika refa anawaonea wakati mpira hamuujui.
Hamjawahi kushinda tangu 1995. Fake from long time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…