Hivi wewe unaekataa kukubali kwamba Mkapa kaenda kwa sababu maalum ziko kamili kweli?au ndo Masaburi,hujui ya kwamba asilimia kubwa ya wapiga kampeni waliokwenda Igunga ni wale waliokuwa na Mkapa?kuanzia kina Fatuma Kimario wa wakati ule,Mangula,Kina Mashishanga nkna hii ni dalili mbaya sana ni kwamba ndani pagumu na nje pagumu,na huyo Mkapa kaenda tu vile ni kijijini hivi huyo na alichotufanya kwenye Kiwira na kuruhusu EPA na mengineyo mengi ni mazuri?
Nendeni wote ikibidi magogoni muihamishie pale.
Lakini something is better than nothing,and this is long term plan hapo igunga usitegemee itakuwa hivyo 2015.