Benz Neobus N10 340 VS Scania Gemilang 95 310

Benz Neobus N10 340 VS Scania Gemilang 95 310

KingPower

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
1,115
Reaction score
1,807
Habarini wakuu!

Bila kupoteza muda naomba tujadiri kwa pamoja juu ya aina izi mbili za mabasi

Tuanzie kuanzia performance je neobus anaweza mkalisha 95 scania kwa mwendo?
Vipi kuhusu nguvu za engine zao kweny milima na rough road

Na tuongelee pia kuhusiana na uimara (durability) nani yupo juu?

Na pia bila kusahau Price tag zao ipi ni bei ghali ?

Karibuni!
1589042861280.png

Benz Neobus N10 340

1589043000687.png

Scania Gemilang 95 310

Picha ya kwanza ni Mercedes Benz Neobus N10, 310 hii anayo Sauli

Na picha ya pili ni Scania Gemilang 95 310.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi scania nilibahatika kusafiri na tahmeed dar-arusha, hizi gari zipo cool sana na ni standard sana for route ndefu...
 
Sina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.
Habarini wakuu!

Bila kupoteza muda naomba tujadiri kwa pamoja juu ya aina izi mbili za mabasi

Tuanzie kuanzia performance je neobus anaweza mkalisha 95 scania kwa mwendo?
Vipi kuhusu nguvu za engine zao kweny milima na rough road

Na tuongelee pia kuhusiana na uimara (durability) nani yupo juu?

Na pia bila kusahau Price tag zao ipi ni bei ghali ?

Karibuni!
View attachment 1445102
Benz Neobus N10 340

View attachment 1445104
Scania Gemilang 95 310

Picha ya kwanza ni Mercedes Benz Neobus N10, 310 hii anayo Sauli

Na picha ya pili ni Scania Gemilang 95 310.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mtu mwenye picha ya basi la Masia (Dar-Mbeya) aniwekee hapa.. Zile Scania nilikuwa nazielewa sana!
 
Matajir wengi wa mabasi Tanzania bado hawajajua maana ya luxury. Wachache Sana wanafanya bidii eg. Tahmeed, Shabiby na kidogo BM.

Gemilang limekaa Kama Kambale. Benz lipelekwe route za maana za wenye pesa (Dar-Arusha) huko Dar-Malinyi yabaki malori tu.
Dar-Malinyi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kuna siku nilipangiwa kazi huku nikagoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Scania ipo good sana, haiwezwi wekwa kundi moja na Shivo

ila pia tambua Sauli ni wacheza rafu sana, na je unafahamu kuna dereva wao amefutiwa leseni kwa overspeeding?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana ile Benz ilisumbua ENGINE hivyo wamefunga ENGINE ya scania(114) ndo maana unaona ile performance yake... ila bado sina uhakika na hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mtu mwenye picha ya basi la Masia (Dar-Mbeya) aniwekee hapa.. Zile Scania nilikuwa nazielewa sana!
Nimejaribu ku upload nikashindwa sijui picha Ina shida gani, zile zilikuwa ni scania 93 250hp, moja ilikuwa na namba TZJ 3360 kama sikosei . Kulikuwa na K310 TZJ 7104 ya matema beach, pia ndo walikuwa wababe wa kuingia mnazi mmoja saa nane mchana wakitokea Mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile DRH na DPN zote ni scania ....Japo dereva wa ile Benz anadai zile bus perfomance yake kwenye kupanda milima sio nzuri sana kama scania..ila tambarare kuikamata ni ngumu
Benz ni overated , kwenye fuel consumption ipo powa Ila kwa mbio na nguvu haiwezi kuizidi scania, gari pekee ya kijerumani inayoweza kupambana na scania ni Man, japo nazo huwa hazina maisha marefu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajir wengi wa mabasi Tanzania bado hawajajua maana ya luxury. Wachache Sana wanafanya bidii eg. Tahmeed, Shabiby na kidogo BM.

Gemilang limekaa Kama Kambale. Benz lipelekwe route za maana za wenye pesa (Dar-Arusha) huko Dar-Malinyi yabaki malori tu.
Gemilang haipo Tanzania wakuu Kuna copy tubya wakenya hiyo unayosema hapo juu Ni scania 95 ikiwa kwenye body ya Ava Kenya , full mabati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom