Habarini wakuu!
Bila kupoteza muda naomba tujadiri kwa pamoja juu ya aina izi mbili za mabasi
Tuanzie kuanzia performance je neobus anaweza mkalisha 95 scania kwa mwendo?
Vipi kuhusu nguvu za engine zao kweny milima na rough road
Na tuongelee pia kuhusiana na uimara (durability) nani yupo juu?
Na pia bila kusahau Price tag zao ipi ni bei ghali ?
Karibuni!
View attachment 1445102
Benz Neobus N10 340
View attachment 1445104
Scania Gemilang 95 310
Picha ya kwanza ni Mercedes Benz Neobus N10, 310 hii anayo Sauli
Na picha ya pili ni Scania Gemilang 95 310.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauli,, wameifanya gamilang kuwa maarufu sana.
Niliskia amenunua ingine, iko wapi?Kishenzi sema ile Benzi yao ndo Nyoko zaidi hata ikiwapa gepu wenzake basi dakika za kutosha tofauti na scania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kishenzi sema ile Benzi yao ndo Nyoko zaidi hata ikiwapa gepu wenzake basi dakika za kutosha tofauti na scania
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mtu mwenye picha ya basi la Masia (Dar-Mbeya) aniwekee hapa.. Zile Scania nilikuwa nazielewa sana!
Dar-Malinyi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Matajir wengi wa mabasi Tanzania bado hawajajua maana ya luxury. Wachache Sana wanafanya bidii eg. Tahmeed, Shabiby na kidogo BM.
Gemilang limekaa Kama Kambale. Benz lipelekwe route za maana za wenye pesa (Dar-Arusha) huko Dar-Malinyi yabaki malori tu.
Scania ipo good sana, haiwezwi wekwa kundi moja na ShivoSina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile DRH na DPN zote ni scania ....Japo dereva wa ile Benz anadai zile bus perfomance yake kwenye kupanda milima sio nzuri sana kama scania..ila tambarare kuikamata ni ngumu
Inasemekana ile Benz ilisumbua ENGINE hivyo wamefunga ENGINE ya scania(114) ndo maana unaona ile performance yake... ila bado sina uhakika na hili...Sina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu ku upload nikashindwa sijui picha Ina shida gani, zile zilikuwa ni scania 93 250hp, moja ilikuwa na namba TZJ 3360 kama sikosei . Kulikuwa na K310 TZJ 7104 ya matema beach, pia ndo walikuwa wababe wa kuingia mnazi mmoja saa nane mchana wakitokea Mbeya.Naomba mtu mwenye picha ya basi la Masia (Dar-Mbeya) aniwekee hapa.. Zile Scania nilikuwa nazielewa sana!
Sina uzoefu na magari ila nadhani Benzi ni nyoko hasa kwenye ishu za kutembea....maana nyanda za juu kusini kampuni ya sauli ana Benzi yake moja DPC scania na michina yote wanaitambua shuguli yake ni nyoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Benz ni overated , kwenye fuel consumption ipo powa Ila kwa mbio na nguvu haiwezi kuizidi scania, gari pekee ya kijerumani inayoweza kupambana na scania ni Man, japo nazo huwa hazina maisha marefu .Ile DRH na DPN zote ni scania ....Japo dereva wa ile Benz anadai zile bus perfomance yake kwenye kupanda milima sio nzuri sana kama scania..ila tambarare kuikamata ni ngumu
+1Benz ile hakuna kitu, zile scania 95 ndo zinajitahid kukimbizana na Golden deer
Sent using Jamii Forums mobile app
Gemilang haipo Tanzania wakuu Kuna copy tubya wakenya hiyo unayosema hapo juu Ni scania 95 ikiwa kwenye body ya Ava Kenya , full mabatiMatajir wengi wa mabasi Tanzania bado hawajajua maana ya luxury. Wachache Sana wanafanya bidii eg. Tahmeed, Shabiby na kidogo BM.
Gemilang limekaa Kama Kambale. Benz lipelekwe route za maana za wenye pesa (Dar-Arusha) huko Dar-Malinyi yabaki malori tu.