darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Ukitaka gari imara nunua Toyota au Honda lakini ukinunua gari za mjerumani na mmarekani zikifika 100k miles utalia ndugu.Mzungu hajawahi kuwa na kazi ya kitoto. Gari kali saana.
Zunakuaje mkuu zikufika hiyi mille-age. Mfano hiyo bado 40k km igote 100k kmUkitaka gari imara nunua Toyota au Honda lakini ukinunua gari za mjerumani na mmarekani zikifika 100k miles utalia ndugu.
Uko Sahihi Kabisa Kiongozi, Hawa Watu Wanakua Kutuliza AkiliMzungu hajawahi kuwa na kazi ya kitoto. Gari kali saana.
Nachoamini Kwenye Suala Zima La Gari Ni Matunzo Inayopata Kutoka Kwa Mmiliki Wake. FULL STOP‼️Zunakuaje mkuu zikufika hiyi mille-age. Mfano hiyo bado 40k km igote 100k km
Napingana Na Wewe Kwa Asilimia Zote Kwa Hii Kahawa Yako Unayosemea Hapa.Ukitaka gari imara nunua Toyota au Honda lakini ukinunua gari za mjerumani na mmarekani zikifika 100k miles utalia ndugu.
HaswaaaNapingana Na Wewe Kwa Asilimia Zote Kwa Hii Kahawa Yako Unayosemea Hapa.
Ingekuwa Ivyo Basi Hizo Gari Unazosema Tusingekuwa Tunapisha Nazo Tena Nyingine Ni Namba A.
Mchawi Wa GARI Yeyote Ile Ni Matunzo Na Sio Vinginevyo
Mleta mada ujumbe wako ni kuuza gari, ila kuhusu kuleta heshima ukweni inategemea sana mazingira. Kuna sehemu hiyo gari itakuaibisha maana iko chini sana. (Ground clearance). Ushawahi kufika Nyandira ya Kikeo Morogoro? Huko labda Landrover au Landcruizer.Bei/Price[emoji2531][emoji1428]TSH 35.5M
Call[emoji338]+255 747 999 927
MERCEDES BENZ C CLASS
Year: 2015
Engine: 1,990Cc
Mileage: 61,000+
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
[emoji92]Sport Mode
[emoji92]AMG Edition
[emoji92]Auto Adjust Lights
[emoji736]Clean Interior
[emoji736]In Good Condition
[emoji736]Exchange Possible
View attachment 3490165View attachment 3490166View attachment 3490167View attachment 3490168View attachment 3490169
Akili za masikini hiziBei/Price🏷️👉🏽TSH 35.5M
Call📞+255 747 999 927
MERCEDES BENZ C CLASS
Year: 2015
Engine: 1,990Cc
Mileage: 61,000+
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
✨Sport Mode
✨AMG Edition
✨Auto Adjust Lights
✅Clean Interior
✅In Good Condition
✅Exchange Possible
View attachment 3490165View attachment 3490166View attachment 3490167View attachment 3490168View attachment 3490169
Kawadanganye watoto wadogo yaani mjapani ampite mjerumani na mmarekani? Sema hivi: ukitaka gari ya bei rahisi na ambayo spare zake zipo kila kona na pia spare zinaingiliana basi nunua Toyota.Ukitaka gari imara nunua Toyota au Honda lakini ukinunua gari za mjerumani na mmarekani zikifika 100k miles utalia ndugu.
Jamaa anafanya mzaha na products za mjerumani. Mjapan yupo vizuri sana sana ila Mzungu yupo hatua moja mbele yake.Kawadanganye watoto wadogo yaani mjapani ampite mjerumani na mmarekani? Sema hivi: ukitaka gari ya bei rahisi na ambayo spare zake zipo kila kona na pia spare zinaingiliana basi nunua Toyota.
Kama hamjui vitu msome tu comments.
Nikiwa mdogo mpaka umri huu Katika gari familia yangu(wazee na sisi watoto kwa sasa) tulizo miliki Audi,VW,Mercedes Benz mbili,Landrover,Nissan,Toyota,Honda,Chrysler na Mitsubishi. Land Rover ilitumika sana kwa uwindaji na Nissan Patrol kwa safari za mikoani. Fundi wanakuja nyumbani kitengeneza gari ikiharibika. Utunzaji zote hizo zilitunzwa kikamilifu gari ya kwanza kugoma ilikuwa Audi na Mercedes stori ni ndefu Lakini uono wangu sio lazima uwe ndio ukweli kwa wengine.Napingana Na Wewe Kwa Asilimia Zote Kwa Hii Kahawa Yako Unayosemea Hapa.
Ingekuwa Ivyo Basi Hizo Gari Unazosema Tusingekuwa Tunapisha Nazo Tena Nyingine Ni Namba A.
Mchawi Wa GARI Yeyote Ile Ni Matunzo Na Sio Vinginevyo