Benzema na Rihanna, penzi jipya

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298


hili penzi mnalionaje?
 
Mbona hawapo kimahaba mahaba..!! Nadhani Rihana ndiye aliyemtongoza Benzima.!! Mahusiano ya namna hiyo huwa hayana mvuto.!!

But Hongera zake Benzima, kupakua kabinti kama ka Rihana ni burudani sana.. nikifikilia namna kanavyozungusha ile nyonga ndani ya uwanja mfupi kuliko vyote duniani, Udende unanchuruzika...!!

BACK TANGANYIKA
 

Aisee kama hawajaendana vile,Chris na Rihanna ndo walikuwa wanalandana
 
benzema nae!' amekosa mwanamke!'
 
Hahaha No shit! Rihanna ni mkarimu kwa kila mwanaume maarufu atakayetaka kuonja ukarimu wake.
How many straight brothers would pass on a chance to smash Rihanna? Not many.






So let mah man Benzo be




 
namuonea wivu benz, mtoto kadata na migoli yako ya ajabuajabu
 
Hapo msimu ujao benzema kiwango kitakufaaa
 
Halafu huyu ostadhi benzema mbona kapiga pamba kama sio yule wakusujudu uwanjani.
 
Oya Jambazi vipi mbona ID Yangu imebadilika ulivo quote hapo?
 

Mbona photo shop zote....benzema hamwezi huyo mwehu
 
Kwa ukarimu wa rihana naona hata mie atanikaribisha jikoni.....wait N' see
 
nyeti zingekuwa zinaisha kama matairi ya magari ingekuwa noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…