Benzi za kukodishwa kwenye harusi

Rukwa21

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
142
Reaction score
42
wanajamii naomba ushauri kuhusu biashara ya kukodisha benzi za harusi zinalopa? Na kwa mfano ukipata order moja ya harusi ni shs ngapi? Naomba ushauri wenu wadau nafikiria kufanya hii biashara
 
Fanya costing, sijui wanaita kuchokonoa au kuchakachua, uangalie gharama zako na uongezee faida yako.
 
inategemea na mkoa ,ila kwa moshi ni 200,000 had 300,000,huku ikitegemea na umbali ambapo sherehe inafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…