Berbardo Silva afungiwa mechi 1 kwa kumbagua Benjamin Mendy kupitia Twitter

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

Kiungo wa Manchester City Bernardo Silva, amefungiwa mechi moja na Chama cha Soka nchini Uingereza (FA) kutokana na posti yake iliyokuwa na kiashiria cha ubaguzi wa rangi kwa mchezaji mwenzake wa Manchester City, Benjamin Mendy.

=====

Manchester City’s Portuguese midfielder Bernardo Silva has been suspended for one match and fined 50,000 pounds ($63,980) over a Twitter post concerning French team mate Benjamin Mendy, the Football Association (FA) said on Wednesday.

Silva was criticised by anti-racism body Kick It Out after posting a message on Sept. 22 comparing Mendy to a chocolate-covered peanut character used in the logo for Conguitos, a confectionary brand popular in Spain and Portugal, before deleting it.
 
Watu weusi huwa wana wakati mgumu sana mara nyingine.
 
Soka ndo sehem pekee salama iliyobaki baada ya sector zingine zote kuharibika

Kwahiyo ni lazima palindwe kwa nguvu zote
Hakuna cha kulinda kwa nguvu wala nin!? Ni wanakuza mambo tu, wanaongeza ukubwa wa mambo.
 
Naona tumekuwa watu wa kujishtukia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…