P pamba boy JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 252 Reaction score 392 Jun 18, 2025 #1 Siku zote Simba awezi kuwa paka,dharau alizozifanya Africa kusini,yanga,na simba ,ken gold walifikiri atakuwa kabadilika. Leo kibao kimemuita mara tatu ila amegoma,poleni sana Ken Gold
Siku zote Simba awezi kuwa paka,dharau alizozifanya Africa kusini,yanga,na simba ,ken gold walifikiri atakuwa kabadilika. Leo kibao kimemuita mara tatu ila amegoma,poleni sana Ken Gold
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 Jun 18, 2025 #2 Timu ishashuka daraja,sub wafanye mchezaji akiumia au kuchoka mwenyewe ama akiwa na kadi ya njano tayari.
Timu ishashuka daraja,sub wafanye mchezaji akiumia au kuchoka mwenyewe ama akiwa na kadi ya njano tayari.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Jun 18, 2025 #3 Aisee
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,453 Reaction score 111,795 Jun 18, 2025 #4 Ng'ombe hanenepi siku ya mnada.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,911 Reaction score 28,469 Jun 18, 2025 #5 Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba Watu wenyewe wameshajichokea hao sasa hata akitoka anaona kazi bure Kashajichokea huyo
Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba Watu wenyewe wameshajichokea hao sasa hata akitoka anaona kazi bure Kashajichokea huyo
Revolution JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 1,436 Reaction score 1,769 Jun 18, 2025 #6 Coach wa KenGold amesema walikubaliana kwamba atacheza half kutokana na hali yake. Baadae akasema anaweza kuendelea wakamwacha aendelee. Hajacheza mwaka na nusu.
Coach wa KenGold amesema walikubaliana kwamba atacheza half kutokana na hali yake. Baadae akasema anaweza kuendelea wakamwacha aendelee. Hajacheza mwaka na nusu.