Bernad Morrison: Silaha hatari isiyopenda njaa

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
2,903
Reaction score
4,334
Moja kati ya mawinga wa shambuliaji hatari ambao wamewahi kuja hapa nchini ni Bernard Morrison. Jamaa ni talented sana, hilo halina ubishii ata add value sana kwa kikosi cha lunyasii mnyama mkali.

Swala la nidhamu limekuwa questionable sana, ila kwa hali ya kawaida ya binadamu upatapo njaa huwezi kuwa na utulivu, hata wanyama hudiridki kula mpaka watoto wao mfano nguruwe. Morrison nidhamu yake ni kubwa sana shida ilikuwa njaa tu, hakuna kingine.

Angalizo: Mtani wetu Yanga ajipange kiukweli, hana ubora ule, hana hela za Manji tena. Itamchukua muda kurudi tena. GSM ni matapeli tu wanawarubuni mashabiki wa Yanga ili kuendelea kuuza jezi.

NB: Yajayo yanafurahisha. Kuna team haitaingia uwanjani next season ha ha ha ha.

"Huwezi kumiliki mwanamke mzuri wakati huna hela" ni dharau kwa wenye pesa.

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Yanga wanaingizwa cha kike na GSM baada ya kusikia tu ya kina Yondani na Abdul nikajua tu mwanakukifind mwanakuliget tusubir msim ujao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Morison alifukuzwa orlando pirates kwa nidhamu mbovu, afrika kusini hawataki hata kumuona, hajui chochote zaidi ya kupanda mpira tu
 
Majeziii yameshawalipaaa wanakimbiaa wachezaji aisee
 
Morrison ni mtovu wa nidhamu, ameonesha hivyo kuanzia kule South mpaka Congo, sio Yanga tu! Sawa ana kipaji lakini nidhamu ni muhimu!
 
Kwa hiyo Orlando Pirates wana njaa. Maana alifukuzwa huko kwa aibu pamoja na kuwa talented.
 
Morrison sio wa kulonga uka mala weka akiba ya meneno sidhani kama Simba ni tajiri kuliko AC Vita na Orando pirates ambao walinyoosha mikono
 
Mkuu utakuwa umelishwa tango pori. Morison aliondolewa Orlando Pirates kwa makosa ya utovu wa nidhamu ikiewemo wiz.
Mkuu sijalishwa matango pori ninaishi bryanston, sandton hapa Johannesburg hlo suala la wizi lilisemwa tu ili kupooza mashabiki, Morison ana damu ya kupendwa na mashabiki.
 
Morrison:- Tarehe ya leo 8/3/2020 ndio siku aliwanyima raha mbumbumbu fc afu miezi 5 baadae (8/8/2020) anawapa raha mikia na kinyume chake! Ila huyu bora kasepa zake angetusumbua! Mo amevunja kibubu si mchezo
 
Morison alifukuzwa orlando pirates kwa nidhamu mbovu, afrika kusini hawataki hata kumuona, hajui chochote zaidi ya kupanda mpira tu
Lete uthibitisho wa BM kuondolewa kwa sababu ya nidhamu Orlando Pirate?
 
Morrisoni sio mpenzi wa Yanga wala Simba mjue.
Morrison anatafuta Pesa, kama Hassani Kessi, kama Yondani, kama Mbuyu Twite.
Mwiba ni kiatu
 
Huyu hawezi cheza msimu huu, subirini muone filamu linavoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…