Msiba wa MEMBE umesadifu mpasuko na chuki alizoziotesha magufuli.....

Magufuli alikuta taifa linaloahikamana, ameacha taifa lililogawanyika ....
Taifa limegawanywa na walamba asali ambao wamedhibitisha chuki zao kwa kututesa wananchi kwa kiburi cha hali ya juu. Mtu mzima anafikia kusema "Wazuri hawafi" katika kipindi ambacho raisi wa nchi amekufa na watu wana simanzi na hilo. Wengine wakikesha Bar na kusheherekea kama vile sikukuu. Kama yale yalikuwa sahihi hata haya anayofanyiwa Membe ni sahihi.
 
Kiukweli kabisa tangu nizaliwe hakuna msiba niliouona watu wanasherehekea na kumsifu na kumshukuru mungu kama kifo cha magufuli,mfano mtaani kwetu kuna daktari alichinja mbuzi kama shukrani
Huo mtaa moja labda ni wa Masaki au Mbezi Beach kwa mafisadi maana mitaa yote iliomboleza kifo cha jembe.
 
Uwe chadema, uwe kidampa wa mama, au uwe chawa... sisi tunasema nenda kazikwe na mzoga kama umepaniki
 
Hahahhaha msiba wa CCM hautuhusu Chadema..... nyie malizaneni Ili 2025 ikute mmepukutika.
Wanajifariji tu ewe mtu wa Mungu wako Kama Dodoma Jiji baada ya kwenda sare na Yanga kwa dakika kadhaa wakajua wamemaliza mchezo kumbe kichapo kilikuwa palepale na Yanga kabeba ubingwa mbele yao.Sasa sukuma gang wanapoza machungu kwa Membe wakati Magufuri hatorudi tena duniani.
 
Ni sahihi tuendelee na mtanange
 
Tena anazungumza hayo mbele ya mjane wa Rais, ila huu msiba umetusaidia kujua JPM alipendwa kiasi gani.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
 
😭😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…