11.Ni mtu dhaifu sana asiyeweza hata kusamehe siyo Musiba tu.

Kabla ya Musiba alikuwa na maadui 11 ambao aliwahi kuitangazia dunia mwaka 2016 kupitia Dakika 45-ITV kwamba akiukwaa urais 2020 wanatakiwa kwenda uhamishoni.

Yaani alikuwa na uhakika toka 2016 hadi 2020 watakuwa bado adui zake tu.

Haishangazi aina ya kifo chake,kama hakuwa na presha basi tatizo la Moyo kwa kuhifadhi chuki na uhasama usioisha.
 
Naomba Wanajukwaa tupunguze ukali kidogo kuhusu msiba huu wa Membe. Nimeona baadhi ya komenti za members huku wakiuliza mzoga wa Membe unazikwa lini sio mzoga ni mwili.Mods Mods Mods tafadhalini msikurupuke kunipiga ban bila kusoma nilichoandika. Tukutane Gamboshi badae wadau. Mods naona kwa makusudi mmeunganisha huu uzi kazi kweli kweli kwa hawa Moderators wetu tutafika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…