Sasa kile kiburi chake kilikuwa kinatokana na nini?Aina ya uzikaji haifanyi mabaya kuwa mema ama mema kuwa mabaya.
Membe atazikwa kama wakatoliki wengine wanavyozikwa!!
Gazeti la hasimu wake..Mfahamu walau kwa ufupi Bernard Kamilius Membe, aliyepata kuwa waziri wa mambo ya nje katika awamu ya 4.
1. Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe.
2. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo watoto wote saba wa familia hii ya Mzee Kamillius wamekuwa wanatumia jina la upande wa mama yao, Cecilia, yaani Membe.
3. Huyu ni mseminari kwelikweli kwani kwa asilimia kubwa alipata elimu yake huko Seminarini kama ifuatavyo
1962 – 1968: Elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Chiponda, Lindi.
1969 – 1972: Elimu ya Sekondari, (O-level) Namupa Seminary, Lindi
1973 – 1974: Kidato cha tano na sita (A-level) Itaga Seminary, Tabora.
4. Mwaka 1975 akiwa na miaka 22 tu aliajiriwa serikalini katika idara ya Usalama wa Taifa. Kutokana na kazi hii ndipo jina la Jasusi Mbobezi wakati akiingia kwenye siasa likaibuka.
5. Ukisikia wanamuita Mwana diplomasia basi ujue Membe ni kweli amepiga shule kuhusu masuala ya mahusiano ya Kimataifa. Elimu yake ni kama ifuatavyo;
1981 – 1984: Alipata Shahada ya kwanza katika tasnia ya Sayansi katika maswala ya Siasa na mahusiano ya kimataifa (Bachelor Political Science and International Relations)
1985 – 1989: Aliendelea na ajira yake serikalini katika katika ofisi ya rais
1990 – 1992: Alipata Stashada ya Uchumi, Mahusiano ya Kimataifa na Sheria za Kimataifa (Masters- Economics, International Relations and International Law)
1993 – 1994: Alirudi serikalini kuendelea na kazi kama mchambuzi za mambo ya ulinzi na usalama
6. Ni miongoni mwa wanausalama mahiri kuwahi kuwa nao nchini. Amepitia kozi
mbalimbali za kijasusi ndani na nje ya nchi. Kwa kifupi ni jasusi msomi. Mwaka 1978, Ndugu Membe alipata Mafunzo ya sheria za Jinai na usalama wa nchi, nchini Uingereza.
7. Mwaka 2000, aliingia Bungeni baada ya kuchaguliwa na wananchi wa jimbo la Mtama, kuwawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
8. Mwaka 2005, Bernard Membe alichaguliwa tena na wananchi wa Jimbo la Mtama kuwawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano. Tofauti na kipindi cha nyuma, Bernard Membe alianza muhula wa pili wa Ubunge, Januari 2006, kama ‘front bencher’ baada ya kuteuliwa na rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani.
9. Hata hivyo miezi michache baadae, yaani January 2007, rais Jakaya Mrisho Kikwete alimteua Bernard Membe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa baada ya aliyakuwa anashikilia wadhifa huo - Dr Asha Rose Migiro - kuteuliwa na Katibu Mkuu Baraza la Umoja wa Kimataifa na kuwa Naibu Katibu mkuu wa baraza hilo. Bernard Membe amehudu katika nafasi hiyo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa tangu 2007 hadi 2015, akiwa ni Mtanzania wa pili kushika wadhifa huo kwa miaka mingi mfululizo, akitanguliwa na Rais Kikwete ambaye alidumu katika Wizara hiyo kwa miaka 10 mfululizo.
10. Mwaka 2015 alichukua fomu za kugombea Urais lakini alishindwa na John Pombe Magufuli.
Mwaka 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo baada ya kufukuzwa CCM lakini hakufua dafu. Baadae alirejea tena CCM.
Bernard Membe enzi za Uhai wake alibahatika kuwa na watoto watatu tu ambao ni; Cecilia, Richard na Denis.
Alikuja na usemi wa10. Mwaka 2015 alichukua fomu za kugombea Urais lakini alishindwa na John Pombe Magufuli.
Mwaka 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo baada ya kufukuzwa CCM lakini hakufua dafu. Baadae alirejea tena CCM.
Kweli ni mzoga...
Mungu ameamua ugomviUgomvi wa Membe na Musiba uliamuliwa na mahakama kilichobaki ni hukumu kutekelezwa, kama mrithi wa Membe hatosamehe inamana Musiba lazima alipe
Hapo ukuu wa Mungu unaingiaje, kama alikuwa analopoka ilitakiwa Sheria ifuatwe. Mungu wetu tusi mhusishe na mambo yetu ya kijinga. Mungu haja husika na kifo cha yeyote.ila Kila mtu ana siku zake zikifika basi ndo byby. Siasa na ushabiki wetu wakijinga hautabadirisha chchote.Ana bahati tu kwa sababu ya matumizi ya ARV; vinginevyo na yeye ingesoma
Mungu yupi?Mungu ameamua ugomvi
Hukuguswa na magazeti akeKwani musiba anakazi gani
Kwani mahali unapoishi hakuna makaburi??Sasa kile kiburi chake kilikuwa kinatokana na nini?
Mimi nilifikiri anaekufa ni Magu tu maana wema hawafi
Hivi mungu nyie m amchukuliaje. Kwanza ni dhana tu hakuna kitu kama hicho.Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
hata wewe hujui kesho yako. Hakuna ukuu wa Mungu mbele ya yule shetani wenu. We nafikiri unatumia makalio kufikiri. Magufuli hawezi kufananishwa na Magufuli, Mungu alikuwa anatwsa wananchi wake. Musiba alimkashifu na kumdhalilisha sana Membe, Membe alitafuta haki zake kwa njia sahihi kabisa akashinda, mahakama ni mkono wa Mungu hapa duniani. SaSA Ugomvi gani wa kuamuliwa na Mungu hapo. Hata hivyo deni liko pale pale, Membe ameacha wategemezi wake, ile ni haki yao, atalipa tu.Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Kwa kuwa Kuna Decree(Tuzo), na hukumu, msimamizi wa mirathi ya membe anaweza kuendeleza pale membe alipoishia. Ingekuwa kesi haijaisha, na kwa kuwa ilikuwa ni kesi ya defamation, basi kesi ingejifia kwa sababu aliyekashifiwa ndiye anatakiwa kushuhudia jinsi alivyodhalilishwaMkuu, naomba unitoe kwenye utata, nipe kifungu cha sheria kinachoruhusu ama kukataza utekelezwaji wa hukumu iliyokwishatolewa juu ya ulipwaji wa kile kiasi cha pesa.
Na wewe ulishangilia kifo cha JPM eti?Acheni kujitia moyo, Membe alikwishastaafu utumishi wa umma so impact ya vifo vyao ni tofauti kabisa. JPM alikua anaogopeka na hakuna aliyeweza mzuia kwa chochote ila Mungu tu.
so msitafute consolation kwa Membe kwamba ni karma he was done at the mainstream politics.
poleni sana
Hili swali ndio unapaswa sasa umuulize Nape na MembeKwani mahali unapoishi hakuna makaburi??
Hao waliozikwa kwenye hayo makaburi wote ni huyo Magu wenu??
Waseminari sio watu WazuriMfahamu walau kwa ufupi Bernard Kamilius Membe, aliyepata kuwa waziri wa mambo ya nje katika awamu ya 4.
1. Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe.
2. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo watoto wote saba wa familia hii ya Mzee Kamillius wamekuwa wanatumia jina la upande wa mama yao, Cecilia, yaani Membe.
3. Huyu ni mseminari kwelikweli kwani kwa asilimia kubwa alipata elimu yake huko Seminarini kama ifuatavyo
1962 – 1968: Elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Chiponda, Lindi.
1969 – 1972: Elimu ya Sekondari, (O-level) Namupa Seminary, Lindi
1973 – 1974: Kidato cha tano na sita (A-level) Itaga Seminary, Tabora.
4. Mwaka 1975 akiwa na miaka 22 tu aliajiriwa serikalini katika idara ya Usalama wa Taifa. Kutokana na kazi hii ndipo jina la Jasusi Mbobezi wakati akiingia kwenye siasa likaibuka.
5. Ukisikia wanamuita Mwana diplomasia basi ujue Membe ni kweli amepiga shule kuhusu masuala ya mahusiano ya Kimataifa. Elimu yake ni kama ifuatavyo;
1981 – 1984: Alipata Shahada ya kwanza katika tasnia ya Sayansi katika maswala ya Siasa na mahusiano ya kimataifa (Bachelor Political Science and International Relations)
1985 – 1989: Aliendelea na ajira yake serikalini katika katika ofisi ya rais
1990 – 1992: Alipata Stashada ya Uchumi, Mahusiano ya Kimataifa na Sheria za Kimataifa (Masters- Economics, International Relations and International Law)
1993 – 1994: Alirudi serikalini kuendelea na kazi kama mchambuzi za mambo ya ulinzi na usalama
6. Ni miongoni mwa wanausalama mahiri kuwahi kuwa nao nchini. Amepitia kozi mbalimbali za kijasusi ndani na nje ya nchi. Kwa kifupi ni jasusi msomi. Mwaka 1978, Ndugu Membe alipata Mafunzo ya sheria za Jinai na usalama wa nchi, nchini Uingereza.
7. Mwaka 2000, aliingia Bungeni baada ya kuchaguliwa na wananchi wa jimbo la Mtama, kuwawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
8. Mwaka 2005, Bernard Membe alichaguliwa tena na wananchi wa Jimbo la Mtama kuwawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano. Tofauti na kipindi cha nyuma, Bernard Membe alianza muhula wa pili wa Ubunge, Januari 2006, kama ‘front bencher’ baada ya kuteuliwa na rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani.
9. Hata hivyo miezi michache baadae, yaani January 2007, rais Jakaya Mrisho Kikwete alimteua Bernard Membe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa baada ya aliyakuwa anashikilia wadhifa huo - Dr Asha Rose Migiro - kuteuliwa na Katibu Mkuu Baraza la Umoja wa Kimataifa na kuwa Naibu Katibu mkuu wa baraza hilo. Bernard Membe amehudu katika nafasi hiyo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa tangu 2007 hadi 2015, akiwa ni Mtanzania wa pili kushika wadhifa huo kwa miaka mingi mfululizo, akitanguliwa na Rais Kikwete ambaye alidumu katika Wizara hiyo kwa miaka 10 mfululizo.
10. Mwaka 2015 alichukua fomu za kugombea Urais lakini alishindwa na John Pombe Magufuli.
Mwaka 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo baada ya kufukuzwa CCM lakini hakufua dafu. Baadae alirejea tena CCM.
Bernard Membe enzi za Uhai wake alibahatika kuwa na watoto watatu tu ambao ni; Cecilia, Richard na Denis.
OkHukuguswa na magazeti ake
kazi yao ilikuwa ni kupishana hewani tuAfadhali kafa. Kachero gani kaifikisha nchi hapa tulipo.
Hawa mbwa wana nafasi kubwa sana kuiweka hali ya nchi katika hali imara.
Wamechekezea posho na mishahara na kuitelekeza nchi katika lindi la wizi na ufisadi.
yule alikuwa ibilisi, watanzania wanateseka mpaka leo kwasababu ya yule mwovu, wasomi wanadhalilika mitaani kwasababu ya yule shetani. Membe amewakosea nini watanzania? Hajawahi kuwa na cheo cha yule mfu wenu. Mtaweweseka sana ndio ameshakufa na hawezi kufufuka. Bila haya, mkombozi wetu, alikukomboa wapi we mpumbavuNi suala la muda tu. Kila mtu atapata ujira wake tuendelee kusali na kuomba maana walifirahi sana kifo cha mkombozi wetu JPM