Uchaguzi 2020 Bernard Membe achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

Kama nilivyosema jana, anataka urais kisa cha kujiunga na ACT, pia nilisema anatamani vyama vyote viungane na kumchagua yeye kuwa mgombea urais, watu kama hawa unawaona ndani nje jinsi walivyo wehu na walafi wa madaraka. 😂😂😂
Ujue pia kuwa hakuna ulafi wowote ktk kuchapisha fomu moja ya kutia nia ya urais
 
Hivi hizi Rangi za Pink za ACTing Wazalendo zinawakilisha/ symbolise nini?
 
Membe si chochote wala si lolote, amefuata ruzuku tu itakayotokana na viti vya ubunge vya wapemba kama Zitto Kabwe. Kura za Lowassa alizopata 2015 hawezi fikisha. Kura za wanaCCM na wapambe wao wataotoswa kura ya maoni ni wazi hazitaenda kwa Membe bali zitamfuata Tundu Lissu.

Kinachomfanya apapatikiwe na ACT - Wazalendo ni vitisho vyake na uwezo wa majigambo tofauti na Lowassa aliyekuwa mkimya ambaye huwaachia vijana wamseme. Itakuwa ni makosa CDM kujiunga na ACT- Wazalendo na kumwachia Membe heri apande jukwani Tundu Lissu wao. Atasumbua zaidi katika siasa za Tanzania tofauti na Mzee wa Niguse Ninuke.
 
Yaani Jiwe anapewa za uso zaidi ya 2015 ,Mziki huu wa Membe utakuwa mzito kuliko mafuriko ya Lowassa 2015!! Hakuna cha backup ya Lubuva tena maana mbinu zote Jasusi anazijua na ndio maana alikuwa hamtaki kabisa CCM kwasababu angechukua to form CCM jiwe asingepita akaona bora amtimue!!
 
Sure
 
Ndoto yake ni kua Raisi au kugombea uraisi?
 
Hakuna achievement yoyote itapatikana apo mnapoteza muda@ACT Wazalendo.,
Wapinzani wa Tz wangekua na akili moja wasingekubali kushiriki uchaguz hadi pale katiba itakapofanyiwa marekebisho other wise waoinzani mtaisindikiza sana CCM .
 
This is what is wrong, if true and not a figment of your imaginations.

Maamuzi yanapaswa kuwa mikononi mwa wananchi. Got It?
HAPANA.

SHERIA NDIO YENYE MAMLAKA NA HAIPASWI MTU YEYOTE KUWA JUU YA SHERIA(Kwenda Kinyume na Sheria)

Ukiwaachia maamuzi wananchi kila mtu atataka lake, mwisho wa siku wenye nguvu watawashinda wanyonge. Tangu mwanzo karibu kila mtu anaangalia nafsi yake, amani na utaratibu(order) vitapotea.
 
Membe ni mwizi, Membe ni zao la mfumo mbovu wa ccm na mnufaika wa mfumo uliofeli wa ccm, Membe hana tofauti yeyote na Mkapa Kikwete, Magufuli au Lowassa Anawazuga watu wapumbavu.
Inawezekana, ila nashawishika kumpa kura ya ndio
 
Kipindi kile mlisema yule mtaalamu wa kuiba kura aliondoka na lowassa
 
Hujafa hujaumbika. Leo hii Membe has been reduced to receive orders from Zitto...
 
Mission Accomplished....Kugombea Urais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…