Uchaguzi 2020 Bernard Membe achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

Tunasubiri anuke! Lini atanuka au basi tena
 
Membe ni mwizi, Membe ni zao la mfumo mbovu wa ccm na mnufaika wa mfumo uliofeli wa ccm, Membe hana tofauti yeyote na Mkapa Kikwete, Magufuli au Lowassa Anawazuga watu wapumbavu.

Sijui utaficha wapi uso wako siku BM akiwa ndo mpeperusha bendera za upinzani hapo Oktoba!
 
Huku ni kuzunguka kusiko na maana.

Sheria zinatokana na nani? Kuwepo kwa sheria sio utashi wa wananchi?

Unajaribu kuchambua mchele, ambao hata mchanga uliomo huwezi kuuona?

Sheria zipo, zinatokana na watu (kupitia kwa wawakilishi wao) ili ziwafanyie kazi wananchi, wewe unaona sheria zipo ili kuwaminya wananchi? Hii ni akili gani?
 
Aisee ameshashindwa kabla ya siku ya kura. Dume la mbegu Magufuli tu Baba. Yaani hata shamrashamra hakuna maaana ni sign za kichovu hizo. Mwenzake Lowassa alitingisha biashara zikazimama mjini ila ndiyo kwanza narudi akitambaa. Sema tu ni vile uko kazini. Ila Zitto na Maalum Sefu wako kazini pia. Tusaidieni kuhakikisha Dume Magululi nimeshinda asubuhi kabisa na 90% na ushee.
 
Okay tujibizane kwa hoja.

Sheria zina reference point ama grounds. Sheria zote zimetungwa baada ya kuchambua jema na baya "Morals".

Morals karibu zote tulizonazo zilikuepo kabla hata ya kuzaliwa (pia kabla ya wananchi wote waliopo hai leo).

Pia tunaweza vutana kwa hoja milele nani mwanzilishi wa Morals kati ya Mungu au mwanadamu tusimalize leo.
 
Hivi wanasiasa wa Tanzania ni wapumbavu au wanaamini kuwa watanzania ni wapumbavu? Inakuwaje mtu anajiunga na chama kipya chini ya masaa 48 anakuwa anaaminika katika chama na kukubaliwa kuchukua fomu za kugombea urais?
 
Uzuri upinzani wanajua chezo la kifala analocheza Membe

Uzuri ACT haina cha kupoteza,wao anything goes!

CDM knows what it is,hawawezi ingia in the same nonsense!

Halafu nyayo za Lowassa,everything ni copy and paste...watu hawana time nae!

A small fish anapojifanya kuiga ya big fish bwana!

What a joke!
 
Membe mi ntakupa tu.
Kura ya kukomoa.
 
Hapa Membe akiishukuru UWT kwenye mkutano wa ACT 🤣🤣🤣🤣.Upinzani hawapo serious na mipango yao na zaidi hawa waamini watu wao.
 
Kama nilivyosema jana, anataka urais kisa cha kujiunga na ACT, pia nilisema anatamani vyama vyote viungane na kumchagua yeye kuwa mgombea urais, watu kama hawa unawaona ndani nje jinsi walivyo wehu na walafi wa madaraka. 😂😂😂
Haswaa! Ni wehu ati mtu kudhani peke yake ndani ya chama chake ndiye anafaa kuwa raisi. Na wengine wakaenda mbali zaidi kwa kutoa form ya mgombea mmoja tuu.
 
Haya endeleeni kumpamba makamanda!

"Jasusi Mbobezi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…