Bernard Membe: ACT - Wazalendo na CHADEMA tunaongea ili tusimamishe mgombea mmoja

hizo asilimia za ushindi nakubaliana nazo,ila kusema kuwa Membe ndio kasema ngoja kwanza nihakikishe katika akounti yake ya twitter.
Jasusi Membe atakuwa na akaunti nyingi; zipitie zote ujiridhishe.
 
Wataweza kweli?.....Aaahh wapiii[emoji445][emoji444][emoji443][emoji441] hata wakiungana.....
Kama wana 54% wana shida gani ya kuungana na huyo mwenye chini ya 10%. Hii ni kazi ya Mmawia sawa ile zawadi ya Bus kwa Lisu.
 
Alitakiwa kuhamia wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…