Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

Siku hupiga kelele sana na muda huzungumza kuliko mdomo, tuombe uzima
 
Nani alikuambia hayo?We hujui ni mikakati ya timu Membe kujaribu kushawishi watu wamwangalie Membe ingawa kiukweli hana mvuto hata kidogo.
Ila ya Mungu mengi acha ajaribu tu
Kinachonishangaza kabisa kuna Watanzania tena ' Great Thinkers ' hapa Jamvini na Mitaani wanaamini Membe ni ' Threat ' kwa JPM na CCM pia.
 
Uzi umejaa ma-uvccm majinga tu yakiongozwa na popoma mkuu, eti wameitana kufanya damage control,

Sisi hatuongozwi na hisia, tunaongozwa na facts,

Tunamsubiri kumsikiliza akitushawishi tukampima tukajiridhisha tutamsupport

Ukachero wa zito seifu au membe hatuwezi ndo tunauhitaji ili kubadili mfumo.
 
Yaani na Wewe unaamini na unaaminishwa kabisa eti kuwa Bernard Membe ana Sifa kabisa za kuja kuwa Rais wa JMT Mkuu? Nimeshakudharau!
Situmii ubongo wako mkuu, jifunze kuheshimu mawazo ya wengine. Lakini pia mimi nimeonyesha tu tofauti ya Membe na Lowassa. Wapi nimesema anafaa kuwa rais? Hoja uliyotoa wewe mwenyewe ni kuhusu uwezekano wa Membe kudumu ACT Walendo, sasa imegeukaje kuwa sifa za kuwa rais? Ama umeandika ukiwa umelewa?
 
Chief wewe mbona hujatangaza nia? Magogoni pako wazi Jiwe amehamia Dodoma.
Aisee vyeo vya kukimbizana au vya kupewa hapana. Mimi naona kuwa boss mwenyewe ndiyo safi maana hata retirement ni pale unapoona umechoka tu.
 
Hakuna cha Fundisho zaidi ya propaganda za kitoto zisizo na mashiko , Ujio wa ENL/BM CDM/ACT ulikuwa/una manufaa makubwa sana kwa CHADEMA/ACT!!
Chadema wakiungana na zito nitaelewa kwanini ccm inaendelea kututawala mpk leo. Zito sio mpinzan ni mtu ambae anaangalia noti imekaa upande gan,
 
Nilimsikia Membe Anasema, mikoa ya Mtwara na Lindi wako tayari kuipokea Act Wazalendo. Kama kweli iko hivyo. Basi ushawishi wa Membe Ni mdogo Sana ukilinganisha na aliokuwa nao Lowassa.
 
Tindo we ni BOYA kumbe!🤨🤨
 
Mnyanyarwanda ,rudi kwenu acha kujiingiza kwenye habari zetu watanzania
 
Watanzania tuwe na kauli za kueleweka ,unawezaje kusema hawezi kushinda mwaka huu ila 2025 angeweza kushinda wakati wewe si Mungu?
Lawama nyingi hata watu wanashindwa washike lipi waache lipi yaani mtu huyu huyu anakwambia tume ya uchaguzi haipo fair ila kesho anasema ungegombea wakati fulani ungeshinda , kwa nini mtu usiwe specific kuwa tatizo linalosababisha mtu fulani asishinde ni hili au lile ukawatoa watu kwenye lindi la uoga?

Tubadidilike ndugu zangu usiongee kwa uhakika wakati hakuna aijuaye kesho ya mtu mwingine haitakusaidia sana maana kesho yetu wote aijuaye Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…