zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ndio maana nimesema ni speculation na nimeongelea kwa perception za watu tofauti ili tuwe na balanced discussion.Nafuatilia michango yako kidogo naota moto kwenye baridi, sasa why you do not see our serious shortcomings?, na kama shortcomings haziwi amplified zitaondokaje ili tuweze kuchukua dola?
Nakuonya kisiasa, hii kuhusu Membe - usirukie mchezo wa drafti ambao wenzako wameupanga. Ukikuta wewe vuruga panga upya kwa kuwa ule ulioukuta wamepanga hautakuwa na control nao.
Hakuna upepo hapo ila calculated move. Hata Nape alipogombana na mwenyekiti wake nadhani uliona wapinzani walivyoshabikia yote kwa yote kuona tu vurumai kwa adui yako ila sio kwamba walimpenda Nape.Watu wasio na mipango mnafuata upepo tu.
Umejibu kwa usahihi, na nilikuuliza hayo maswali kukuonesha kwamba charisma na kujua kuongea/kutawala jukwaa ni mambo mawili tofauti kwa sababu wakati uliyekuwa umem-quote alikuwa anazungumzia suala la charismatic leadership lakini maelezo yako yalizungumzia suala la uwezo wa kuongea na kueleweka!!!Kila mmoja ana uwezo wake, Mkapa ni great thinker na more knowledgeable kuliko kikwete, lakini Kikwete yupo very charismatic na ana fit sana na sisi wa Mujini.
Kikwete ni very charismatic, next to Mwalimu among other presidents lakini Mkapa anajua sana kuongea!!Mkwere ni Smart sana aisee hata nyerere anamjua vizuri kwenye Kura za maoni 1995
Nahisi ni Magu. Mishale mingi naona inarushwa kwake. Nadhani wanaona "aliwakwaza" kwa kusafisha uso wa chama chake. Hiyo imewapa ugumu, maana amewakosesha sera rahisi kueleweka kwa mtu wa kawaida.Hivi lengo la upinzani ni kumtoa Magu au ccm?
Maana mlianza kumshabikia Membe akiwa ccm
Msema kweli mpenzi wa mwenyezi Mungu.Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.
Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!
Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni
NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Umejibu kwa usahihi, na nilikuuliza hayo maswali kukuonesha kwamba charisma na kujua kuongea/kutawala jukwaa ni mambo mawili tofauti kwa sababu wakati uliyekuwa umem-quote alikuwa anazungumzia suala la charismatic leadership lakini maelezo yako yalizungumzia suala la uwezo wa kuongea na kueleweka!!!
So, huyo huyo unayemuona ana-fit zaidi kwa watu wa mjini, kama he's really charimastic leader basi atafit kotekote bila kujali uwezo wake wa kuweza kuongea na watu wa makundi mbalimbali!
Na huyo mwingine, ataendelea kulazimisha kuwa a funny leader na kuishia kutoa vile anavyodhani ni vichekesho vinavyoacha maswali mengi kwa wasikilizaji kwa sababu he's not that funny but he wants to be described as a funny guy and become more attractive na kuonesha haiba nzuri kwa jamii, lakini kama hana karama ya mvuto, atabaki tu kueleweka na wengi lakini ataendelea kukosa haiba mbele yao!
Unaseme je leo mzee? Bado TL ni pace maker?Duh...!, sasa itakuwaje?, maana huyu ndiye mgombea wa pamoja!. TL ni pace maker tuu!.
P
Hivi inawezekanaje kujua kama kweli Magufuli kaiimarisha CCM kupitia huu uchaguzi wakati uwanja wa mechi hauko sawa?Muona wangu na political strategist wote wanakubali: Magufuli ndio kiongozi aliye iimarisha CCM ambayo ilikuwa inaenda kujifia.
Na sasa hivi ndio chama imara kuliko muda wowote labda tuu wakati wa Nyerere.
Results ndizo zitakazo kuonyesha ubora wa kiongozi yeyote na sio vinginevyo. Kwa sababu hakuna formular maalumu inayofahamika kuwa sahihi kabisa kufikia unayoyataka kisisasa.
Uchaguzi huu na matokeo yake yatatupa nafasi ya kutosha kuandika daftari upya ya mifumo ya kisiasa mipya mbali tuliokuwa tukiifahamu. Hii itaongeza ufahamu kwa wengi ambao tunapenda kufuatia mienendo ya kisiasa.
Mimi ni upande wa upinzani lakini ni muhalisia katika uchambuzi bila kuweka upendeleo na kuongozwa na hisia kisiasa kwa kadiri nionavyo. Kwa umri wangu muda wa hisia ulikwisha kitambo.
No nimekubali matokeo!.Unaseme je leo mzee? Bado TL ni pace maker?
Watu wasio a mipango mnafuata upepo tu.Yes kuitoa CCM automatic unamtoa Magufuli. Kumshabikia Membe maana yake kuchochea mvurugano kati ya chama na eventually kipasuke maana asingemtoa Magufuli kirahisi hivo.
Na kwa matokeo yoyote yale ingekua advantage kwa upinzani kutumia fursa kujijenga. Rejea mtifuano wa Ruto na Uhuru si unaona kina odinga wanajijenga maana wanajua jubilee inapasuka 2022!!
Kwahiyo sio kwamba tulimpenda sana Membe ila maadam angeweza kuleta mgawanyiko CCM ama kumtoa jiwe basi ndio maana tukawa tunapiga kelele mitandaoni
NB: Hizo kelele zilituisha baada ya Lissu kutua kwa kishindo Dar, upepo ukahama rasmi maana tulipata serious contender wa magufuli na CCM
Nimependa ulivyomalizia tu. Tatizo its the art the current opposition lacks. Hadi sasa wenzenu wapo major league nyie mnafurahia league za mchangani. Amkeni.Hakuna upepo hapo ila calculated move. Hata Nape alipogombana na mwenyekiti wake nadhani uliona wapinzani walivyoshabikia yote kwa yote kuona tu vurumai kwa adui yako ila sio kwamba walimpenda Nape.
Unakumbuka hata ugomvi wa Mwambe na Mbowe, CCM nzima ilimsupport Mwambe. Unadhani walikuwa wanampenda? Hapana Ila walitaka tu kuchochea mgogoro ili chama kipasuke.
But nadhani uliona kuanzia chaguzi za ndani Hakuna mwana CCM alichaguliwa, udiwani na ubunge wembe ule ule na hata Urais it was clear toka 2016 kwamba contender ni Lissu. Sasa ni wapi tumefuata mkumbo? Afterall Membe alipotimuliwa unakumbuka Mbowe alitoa kauli gani?
Politics is an art my friend
Hivi inawezekanaje kujua kama kweli Magufuli kaiimarisha CCM kupitia huu uchaguzi wakati uwanja wa mechi hauko sawa?
Uimara gani unauzungumzia wakati wamekuwa wakitumia hila kila wakati?! Tangu Magu aingie madarakani, ni lini ametoa equal political playground kati ya CCM na vyama vya upinzani?!Muona wangu na political strategist wote wanakubali: Magufuli ndio kiongozi aliye iimarisha CCM ambayo ilikuwa inaenda kujifia.