Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

mzee si useme ukweli tu, ulivyotoka dubai pale airport na msaidizi wako unafikiri sisi hatukujua kilichotokea ? hadi ikakufanya ukashindwa kufanya kampeni hata moja.
Na ndio hasira zake zilipo!

Hivi ilikuwaje Membe kama ana umuhimu huo akazidiwa kwenye kampeni na mzee wa ubwabwa?
 

Aiseee ni hatari sana!!!
 
Asante.
 
Unadhani Membe ni muoga kama wewe?

Wewe endelea kuwasujudia hao maccm ili mradi ujipatie mkate wako wa kila siku.
 
Membe aulizwe pia kuhusu ripoti ya mali za chama cha mapinduzi,itoke hadharani?,haoni huo umuhimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…