Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Ukitaka kujua membe ni mpumbavu anamuona Mabufuli sio mtanzania huku anajidai wakati wa fisadi kikwete ku.ikuwa na vetting me kuhusu katibu mkuu wake Kinana na usomali wake!?
Huyu dingi anasonona ,acha aropoke , gazeti la Jamuhuri liuzike ,lakini anajipiga kitanzi mwenyewe,asije kulaumu mtu
 
Tanzania, ya urundi, umsumbiji, ungazija, umalawi, ukomoro, ukenya, uuganda, na kadhalika, itafika siku , utautaja ukojani, upemba, uungunguja, uzanzibari, na utanganyika na vikabila vyake, hakika mtanoa, mapanga visu, mundu, mishale na mikuki kutoana uhai, chukueni tahadhari!
 
Labda kama anataka kutuambia Chato yote sio Tanzania.

Uwe mzungu, muhindi, mwarabu, mchina au; tabia zako zinatokana na jamii uliyokulia it’s called socialization.

Ata kama wewe sio mtanzania ukilelewa Mtama Lindi, ukapata elimu yako ya awali Lindi; tabia zako zitafanana na watu wa Mtama, Lindi. Badala ya wamakonde wa msumbiji kule wanauana ovyo, wakati wamakonde wa Lindi Tanzania ni wastaarabu.

Upuuzi anaongeaga huyu bwana is beyond me; ni mtu wa kuropoka tu.
 
Awamu ya nne ingekua makini katika Vetting Magufuli na Dk. Mpango wasingefika walipofika...

Afterall Tanzania ni kama marekani tu ni ardhi ya wahamiaji.
Magufuli, dr mpango, Bashiri na wengine wengi ni watu wa kagame, ni ndugu zake kabisa
 
Hiyo vetting ni ya kupendekeza mafisadi
 
Makabila ya mipakani wengi SI wenyeji wa Tanzania akiwemo Membe Ni wamakua wa Msumbiji

Pili Ni heri kutawaliwa na mgeni asiye fisadi kuliko mzawa fisadi

Mambo ya afya majaliwa ya mola

Viongozi wengi CCM kabla ya 2015 hawakujiandaa kuwa maraisi Ni Magufuli tu ndie alijiandaa for long term kuhakikisha flash disk yake inakuwa clean .Kujiandaa uraisi unatakiwa uwe na long cleanness strategy sio short temporary strategy ya kuibia wananchi halafu una expect kuwa you will be a president !! Ndio maana Lowasa na Membe nk walikwama walidhani presidency is only about having money na kununua media za ndani na nje na wajumbe wa CCM na viongozi wa jamii na dini au kuandika kwenye mawe nchi nzima chagua Mwigulu Nchemba!!!
 
Watu wengine ni shidaaaaaaaaaa
 
Unadhani Membe ni muoga kama wewe?

Wewe endelea kuwasujudia hao maccm ili mradi ujipatie mkate wako wa kila siku.
na hii ndo athari ya washabiki wa mitandaoni. Wazuri sana kukushangilia ila yakikukuta ndio wa kwanza kukudhihaki.
Kumbuka kuna mstari mwembamba sana baina ya ujasiri na upumbavu. Jifunze kutofautisha, unaweza jiona jasiri kumbe kiuhalisia ni mpumbavu.

Point of correction, sijawahi na sitokuja kuwahi kusujudia CCM.
 
Mtaikana sana ccm maana imeshaanza kupoteza mwelekeo
 
Kwamba TISS wameshindwa kazi
Ndicho Membe anachojaribu ku portray wakati TISS wanaojiita wabobezi Kama yeye walitaka nchi iporwe na mafisadi na vibaraka wa wezi wa nje

Shukrani Sana kwa Mkuu wa TISS Kipilimba alijitahidi mno nchi isiporwe na mafisadi au maajenti wa mafisadi wa upinzani wa UKAWA .Nchi isingeweza kurudi kwa watanzania majority bila mtutu wa Bunduki Kama 2015 wangeshika CCM mafisadi au wangeshika Chadema au CUF

Nchi Ingetumbukia mikononi mwa foreigners Wala keki ya nchi peke yao na proxy wao

TISS asanteni kwa kazi nzuri mlifanyia 2015 Mungu atawalipa sababu history ya Tanzania ingebadilika completely na hata mama Samia leo asingekuwa Raisi sababu CCM Ingekuwa ilipigwa chini uchaguzi huyu mama umakamu wa Raisi angeusikia kwenye radio na CCM Ingekuwa out of power

Sawa mwaweza laumiwa kuwa hamukuingiza waroho wao hao wanaojiita TISS wabobezi akina Membe but you saved the nation mkawezesha Hadi leo CCM kuwa madarakani wakati vyama kibao vilivyoleta Uhuru Afrika vilishatupwa nje na mkawezesha Mama Samia kuwa Raisi na Nchi kuendelea kuwa na amani.God bless you
 
Awamu ya nne ingekua makini katika Vetting Magufuli na Dk. Mpango wasingefika walipofika...

Afterall Tanzania ni kama marekani tu ni ardhi ya wahamiaji.
Kwa hiyo huyo aliyebaki ni Mpango....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…