Kantalandwa
Member
- Jul 25, 2020
- 24
- 9
Nae anataka kuona Kama atapokelewa😂“Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press Conference Airport. Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais inayoanzia Tabora wiki hii hadi October 26”. Bernard Membe.
Alijua tu kuwa akiondoka taarifa tutapata.Mbona alivyoondoka hakutupa taarifa ila wakati wa kurudi anatupa taarifa [emoji3]
Daah! Umenikumbusha hili jina. Lilivuma Sana wakati ule anakatwa kwenye chama "twawala".Niguse Ninuke
😅😄😃🤣😂😁😀Daah! Umenikumbusha hili jina. Lilivuma Sana wakati ule anakatwa kwenye chama "twawala".
Vipi Magufuli humtaki tena?Huyu nae si aache tu. Hivi haoni aibu ?Halafu 2025 atakuwa mmoja wa watia nia kupitia CCM. Amwachie Lissu bwana this time.
Ndio mbobezi !Mbona alivyoondoka hakutupa taarifa ila wakati wa kurudi anatupa taarifa [emoji3]
Hana tofauti na lissuHivi kuna anayemjua
Kwa hiyo wale wagombea wote ambao hawataki kumwachia Lissu wametumwa? Au Membe peke Yake ndo anatakiwa kumwachia Lissu? Acheni uoga mwambieni apambane asitake kulialia eti aachiwe.Bado hataki kumuachia Lissu uwanja au ndio ametumwa?
hiyo account ni fake(bernmembe), account halisi ni(benmembe).
Huyu mwenzao hawawezi mzuiaKesho hakuna mkutano utafanyika Airport hahaha lazima wazee wa kuzuia watakuwepo tu