GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tokea utangaze kurejea rasmi CCM ni kama vile umerukwa ghafla na Akili kwani 'unabwabwaja' mno mpaka 'Unaboa' na wengine tunajiuliza hivi huyu huyu ni Membe yule yule aliyekuwa Waziri wa 'Foreign Docket' au?
Na nyie Watoto wa Mzee Membe hebu mshaurini basi Mshua wenu atulie tu ale Pensheni zake kuliko Kujichoresha kila mara tangia arejee zake CCM.
Mbona wengine ' Washua' zao tena wameitumikia nchi hii kwa Kiwango cha Kutukuka mpaka kupata Tuzo zao za Heshima nchini Uganda kwa Museveni, Rwanda kwa Kagame, Burundi kwa Hayati Buyoya, Congo DR kwa Hayati Kabila na Afrika Kusini kwa Hayati Mandela na hapa Tanzania wakiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere walipoachana na Majukumu yao ya Kitaifa wamewashauri kuwa Kimya na Kufurahia tu Maisha yao ya Uzeeni bila kuwa 'Wapayukaji' hovyo?
Mzee Membe badilika Unaboa mno.